GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna Taarifa? Sasa mbona hii Mbichi kabisa ambayo GENTAMYCINE The King ninayo peke yangu nyie hamna na bado hamjatoka nayo katika Mitandao na Media zenu?
Kudadadeki.......!!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Nauliza tena niilete hapa au niuchune?
Kudadadeki.......!!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Nauliza tena niilete hapa au niuchune?