Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,785
Naomba Jf membars nitangulize excuse kwa ninalolisemea kwani huenda lilishaletwa hapa kitambo likajadiliwa wakati mimi sijawa membar Jf, mnivumilie kwa hilo. Muda huu naifanza hii thread niko fukweni mwa Lake Victoria, nimekaa juu ya mawe, aidha mbele kwangu kuna binadamu wa rika tofautitofauti. Wengine wanaogelea, kuna wenye kuvua kwa kutupa ndoano na wengine wanazungukazunguka.
Katika eneo hili kuna mdada (aliesababisha thread hii ije hewani) Mdada amevaa suruali ya jeans iliotoa roadmap yote ya mwili ! Inshort watu Jf almost wote mnaishi mijini na mapigo style hizi mnayajua. Aidha mdada huyu anamiliki figure 8 kama wengi walivyo. Kwa vyovyote vile kwa mwanaume RIJALI akikupitia mdada alievaa kihivi utamwangalia mara mbilimbili na kukuondolea utulivu wa akili, kama una gazeti mkonono, unaandika msg cosentration ina athirika. Nawauliza wadada wenye kuvaa hivi hapa Jf (najua hawakosi) hii sio traps mnatutega ? Kwani msipo display map za miili yenu hatutawahitaji ? Na watakao niambia ni tamaa sitowaelewa! Itakua unafiki tu! Nafsi ni mgeni kila uchao.