Haya sio maksudi mazima wadada kututega ?

nyuzi nyingine bana angrrr.. Mi napita tu Mkuu
 
wee hao wanataka kuangaliwa sasa mie naangalia na nuliza swalo la muhimu mapema...k unatoa ndio utakapo ona jonsi ulivyomdharau
 
BT Nilitegemea kupata jibu kama lako hata hivyo ifanyie Nafsi upembuzi yakinifu inavyokua mgeni wa mambo.

ugeni wa mambo kwenye nini cha ajabu jamani? Stress zingine mnazitafuta wenyewe.
 
biahara matangazo, kuna style nyingi tu siku hizi lakini cyo zote ambazo zinaonyesha mwili anayejiheshim awezi kuvaa nguo ambayo inamuonyesha maumbile kihivyo.
 
Pole hiyo jins tu umepagawa,ukiona kitu cha skin tite utafanyaje?
Mchukulie km dada yako wala haitakusumbua!
 
wee hao wanataka kuangaliwa sasa mie naangalia na nuliza swalo la muhimu mapema...k unatoa ndio utakapo ona jonsi ulivyomdharau

Mzab! Akikwambia natoa then what else ?
 
ugeni wa mambo kwenye nini cha ajabu jamani? Stress zingine mnazitafuta wenyewe.

BT hivi unajua mzee awe me/ke kila anavyozidi umri mkubwa ndivyo hutamani aliowazidi umri kwa gepu kubwa? (am serious)
 
biahara matangazo, kuna style nyingi tu siku hizi lakini cyo zote ambazo zinaonyesha mwili anayejiheshim awezi kuvaa nguo ambayo inamuonyesha maumbile kihivyo.

Has'ssaa!
 
Pole hiyo jins tu umepagawa,ukiona kitu cha skin tite utafanyaje?
Mchukulie km dada yako wala haitakusumbua!

Cantalisa! Asiye dadio kiibailojia atabaki kua si dada yako, kamwe! Kanuni hazikubali halali kuigeuza haramu na haramu ikawa halali, nikujitafutia kuitwa mnafiqki.
 
heri ya mwaka mpya. Umeadimika sist.

Husna ! Haka ka'mchezo kameshakuingia damuni ! Kukatoa labda Apolo hosp - India. Sijui nikuanzishie litred! Then nikuchane live siri zako zile ulizokua unanikataza nisiziseme! Au sijui namimi NIKUCHAKACHUE iwe TUNACHAKACHUANA au tujiunge tuwe TUNAWACHAKACHUA wengine, embu chagua 1 kati ya hayo.
 
We mwenyewe hapo ndo tayari ushajibeba kwa kuliweka kwa head na kufikiria tofauti wakati mwenzio ndo kwanza wala hana habari!!

Recently Jk alikua akiwahamasisha TANAPA kwamba wafanye task force kuweka vivutio, aim hapo ni kuvuta wanaokuja kutalii na ndiyo mana huwezi kuta vazi la Baibui Cassino! Japokua halikatazwi, kwanini msimuoneshee kidole atracter! ? Kidonda kipo ndani ya bandage Nzi aje kufanyaje! Alafu nakataa kwamba mvaa nguo za utatanishi eti anakua yeye hana habari ! Habari anayo sana ! Ndiyo mana yuko katika miondoko hiyo.
 
pole mkuu jeans inakuumiza roho kiasi hicho je ingekuwa skin jeans??? jitahidi kutokuonyesha udhaifu
 
m'ke kujistiri muhim basi tu! Tunatovukiwa adabu kwa kutaka sisi wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…