Hizi post zinaishushia hadhi jf inaonekana ni sehemu ya wahuni na watu wasiojua. Ingekuwa vizuri tujadili mustakbali wa nchi yetu haya mambo ya mapenzi tuwaachie kina ngoswe.
Mustakabali wa taifa unategemea mambo madogomadogo mengi, likiwemo hili la mapenzi na mahusiano..ndo maana wenye uoni waasisi wa jf waliliona hili mapema..usikonde lakini kwa ku-lag behind of the obvious.