Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Msigwa Ni mgombea urais acha uogaHii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani zinarangi ya kijani na njano.
Bado anayo haki kugombea ubunge endapo hatapitishwa kwenye urais.Msigwa Ni mgombea urais acha uoga
Hiyo taasisi iko kutumikia siasa chafu, wala usitegemee wachukue hatua yoyote dhidi ya ccm.
Ccm wapo juu ya sheriaHii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani zinarangi ya kijani na njano.
Kwani Msigwa anagombea nafasi mbili huko chasema?
Anaiga trick iliyopitwa na wakatiNdio anafanya hivyo, kama walivyofanya wakina Mwakyembe,Mwigulu,January etc waliogombea urais na Magu mwaka 2015.
Anaiga trick iliyopitwa na wakati
Hivi ilikuaje mpaka wakazuia Kule kwa Mr kigwa?
Michango ya wanafunzi waliofariki Arusha mbona hosipitali tuliyoambiwa itajengwa haionekani na mshikaji ndiyo huyo kaenda na maji.Acheni wivu na nyie si mgawe au kazi yenu kula michango ya wabunge na ruzuku ya chama [emoji23][emoji23]
Hii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani zinarangi ya kijani na njano.