Wewe na dada yako wote mna matatizo, sababu mmefanya sex kabla ya ndoa....Poleni sana.Nilifanya fazaa ingawa sasa sina any feelings najua it was past..
Bado hujasema kitu? Na wakati umeshasema mpaka umeandika....! Lakini kabla mie sijatoa nasaha zangu, ni vema nikakuhoji wewe kwanza....!Naomba ushauri wenu
Maswali yote yatajibiwa..?
Miaka 10 iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano ya mapenzi na kaka X nikiwa school
Baada ya shule tukapoteana yeye alienda nje na sisi kama family tukahama mkoa na kwenda sehemu nyingine na mawasiliano yakakatika..
Nina wadogo zangu pia wa kike shuleni mie pekee nilitumia jina la Babu yaani Condoreza ..M
Wadogo zangu wote wakatumia jina la baba yana N..E Na sasa nimeolewa na nina familia yangu naishi kwa Amani na upendo
Mdogo wangu kapata mpenzi kama kawaida mapenzi ya kileo nahisi anaka ujauzito…
Sasa wamefikia hatua ya kutaka kuoana mdogo wangu na mchumba wamefunga safari kumleta mchumba
kwanza kututambulisha sisi masisters na baadhi ya ndugu ili hatua zingine ziendelee
Na mahusiano yao sio ya muda mrefu sana..
Jumamos naitwa kutambulishwa Shemeji nakuta ni X wangu ..roho imekaribia kupasuka kwa mshituko
Moyo umekufa ganzi naona na yeye kabakia na mshangao..
Tufanyeje juu ya hili?
Sijasema lolote mpaka sasa..
:A S cry:
Hapana ushauri wako ni mbaya cha kufanya wabaki kimya kimya tu, na kila mtu aendelee na maisha yake, lakini wasije wakarudia kamchezo kale walicho kacheza siku za nyuma.Kama imeshafikia hatua kuwa ana ujauzito hauwezi ukareverse hiyo kitu. Pata muda wa kuongea na huyo X wako na kujua mawazo yake baada ya kushauriana inabidi mumface mdogo wako na kumueleza ukweli. Ukweli utawaweka huru though its awkward lakini mtazoea
Bado hujasema kitu? Na wakati umeshasema mpaka umeandika....! Lakini kabla mie sijatoa nasaha zangu, ni vema nikakuhoji wewe kwanza....!
- Je, mahusiano yako na X yalipata kujulikana ndani ya jamii?
- Je, wewe binafsi unajisikia kumrudia Ex- wako? Au huko ulipo umekwisha fika?
- Unaonaje feelings zake juu yako, bado anakuhitaji?
Kama imeshafikia hatua kuwa ana ujauzito hauwezi ukareverse hiyo kitu. Pata muda wa kuongea na huyo X wako na kujua mawazo yake baada ya kushauriana inabidi mumface mdogo wako na kumueleza ukweli. Ukweli utawaweka huru though its awkward lakini mtazoea
Huyo X wako mlisha fanya naye sex ?
Kama hujafanya naye sex sidhani kama shida.
Ndo mana vitabu vya dini vilikataza kufanya sex kabla ya ndo, hayo ndoa madhara yake, pole sana.
Mtu aliye wachangamkia madada wawili watumbo moja lazima awe faster sana.Inaonekana X yuko faster,si umesikia mdogo mtu ana ujauzito tayari?
Hebu niambie dini gani inaruhusu msex kwanza? Hao wako nje ya dini kwa hio waendelee tu kubana kimya :biggrin1:Hii Ngumu tukirudi kwenye imani ya kidini ukweli unakuweka free
Ni ngumu sana kukaa na siri kama hii moyoni...