Fungua ndoa yako,fungeni ndoa yenu wote watatu...
Na mahusiano yao sio ya muda mrefu sana..
Jumamos naitwa kutambulishwa Shemeji nakuta ni X wangu ..roho imekaribia kupasuka kwa mshituko
Moyo umekufa ganzi naona na yeye kabakia na mshangao..
Tufanyeje juu ya hili?
Sijasema lolote mpaka sasa..
madame, yashatokea hakuna jinsi... haikuwa riziki yako.....
je una feelings kwake?
je ana feelings kwako?
kama hakuna mwenye hisia na mwenzie unachoweza kufanya sasa ni kuweka mipaka na shemeji yako mtarajiwa
kaeni chini mzungumzie hilo, futeni historia, sahauni....mheshimiane zaidi ya mtu na kaka yake
then mdogo wako ana ex wako wafunge ndoa yao...kumbuka wewe una ndoa yako na maisha yako na kama ulivyosema unahisi nduguyo kanasa....
mpe mdogo wako baraka zako, waache wafurahie mapenzi yao...yaliyopit yamepita
@condorezaraisi keep that secret
Mwache mdogo wako na maisha yake maana tayari ana ujauzito wake
Na wala usijaribu hata siku moja kumtakia huyo X wako kukumbushia mambo yenu
Wala usiwe na feeling zozote na huyo X wako
Thanks my dearKiukweli hakuna mwenye kosa kati yenu maana nyote mlishachukua hatua moja mbele chakufanya we mpe baraka zako mdogo wako maana maji yameshamwagika na hayazoleki, kama ulivyoxema tayari kimeshakatikia nyie watu wazma kaeni na myaweke xawa ikibidi kama bado jinamiz la kupendana linawaxumbua maana mwaweza do worse things, bt mkikaa na kuyaongea kwa kuyaweka xawa hakuna baya hapo,, all in all iwe issue ya wewe na x wako au wewe, x wako na dogo pekee na cvinginevyo maana dunia hii mnh.
Asante Kaizer nitafanya hivyo..Iweke siri usiseme kitu sawa mdogo wangu? Huna kosa, mdogo wako hana kosa
Na x wako hana kosa. Wape support kama kawa kwen wedding yao. Thank u
Nakushukuru mpendwa nimekuelewa vema sana ..Kuna roho ilikuwa inanisumbua my dear nasali sana sanaMimi naamini kuwa wadada tuna power kubwa sana ya kukataa kitu, hasa katika relationship. kama mdada hataki kuendelea na relationship, itakufa. tumia usichana wako, hata huyo kaka aje ki-design gani sema hapana kwa sake ya mdogo wako.
kwa maana hiyo, jitahidi mdogo wako asijue yaliyopita kwani yanaweza kuwaweka sehemu ngumu wote watatu.
Ila hapa tahadhali, kama huyo kaka bado ana chembe za feelings kwako, anaweza kuku-blackmail kuwa umpe angalau siku moja, otherwise atasema.......... tafadhali usikubaliane naye, mruhusu akaseme, na ninakuhakikishia hatasema
Ningekuwa namtamani shemeji nisingeiweka hapa kuomba ushauri kwa watu wenye akili na upeo wao ..kama niseme hili jambo au ni keep secretUnajihofia kumtamani shemejio?
Yaani mtoto wa kike unawasiwasi na uwezo wako wa kutunza siri? Mmh, tunahitaji unyago aisee!
mi hapa hata shida sijaiona, yaani 10 years back then ndio iwe ishu?
cha msingi ni kuongea na X na utoe baraka zote kwani mpaka sasa inawezekana kakosa amani kuwa unaweza kuzuia au kuvuruga .,. uyesha ukomavu kubaliana na hali halisi kwani hakuna jinsi na uzuri au tatizo walikutana bila kufahamiana .. pili nduguyo kama atakuwa na ujauzito na ikaeleweka nini kilitokea nyuma itamuumiza kisaikolojia