Haya tena makubwa Msaada!

Haya tena makubwa Msaada!

Ugumu unatoka wapi wa kukufanya ushindwe kukaa nahako ka siri?
 
Ushauri wangu kama haujatolewa na wachangiaji waliochangia kabla yangu ni kutafuta nafasi ya kukaa na huyo X wako na kumwambia uamuzi wako wa kutosema lolote kuhusu mahusiano yenu miaka ya nyuma. Kama atakubaliana nawe na kuwa tayari naye asitie neno kwamba mliwahi kuunganisha miaka ya nyuma basi hakuna tatizo. Ila ukiamua wewe kufanya siri halafu siku akaja kuropoka kwa mkewe kwamba aliwahi kuunganisha nawe miaka ya nyuma basi inaweza kuleta varangati la hali ya juu katika ndoa zote mbili na hata kuleta msuguano mkubwa ndani ya family yenu. Kila la heri

 
Last edited by a moderator:
Sasa useme nini,huna haja ya kusema chochote,huyo alikuwa x wako miaka mingi iliyopita na itabaki kuwa hivyo wala haizuii hao kuendelea na walichokuwa wamekianzisha.
 
Na mahusiano yao sio ya muda mrefu sana..
Jumamos naitwa kutambulishwa Shemeji nakuta ni X wangu ..roho imekaribia kupasuka kwa mshituko
Moyo umekufa ganzi naona na yeye kabakia na mshangao..
Tufanyeje juu ya hili?
Sijasema lolote mpaka sasa..

condorezaraisi wewe una tamaa kali sana kama una wa kwako sasa haya mavi ya jana wafikiri yanamnukia nani?


PROVERBS 17:9
"He who covers a transgression seeks love, but he who repeats a matter separates friends."
 
Last edited by a moderator:
madame, yashatokea hakuna jinsi... haikuwa riziki yako.....

je una feelings kwake?
je ana feelings kwako?

kama hakuna mwenye hisia na mwenzie unachoweza kufanya sasa ni kuweka mipaka na shemeji yako mtarajiwa

kaeni chini mzungumzie hilo, futeni historia, sahauni....mheshimiane zaidi ya mtu na kaka yake

then mdogo wako ana ex wako wafunge ndoa yao...kumbuka wewe una ndoa yako na maisha yako na kama ulivyosema unahisi nduguyo kanasa....

mpe mdogo wako baraka zako, waache wafurahie mapenzi yao...yaliyopit yamepita

Asante Badili Tabia
Sina feelings zozote ili ni jambo lilinishangaza na kujiuliza je hii kitu inawezekana?
 
@condorezaraisi keep that secret
Mwache mdogo wako na maisha yake maana tayari ana ujauzito wake
Na wala usijaribu hata siku moja kumtakia huyo X wako kukumbushia mambo yenu
Wala usiwe na feeling zozote na huyo X wako

Thanx Mr rocky god bless you

Kiukweli hakuna mwenye kosa kati yenu maana nyote mlishachukua hatua moja mbele chakufanya we mpe baraka zako mdogo wako maana maji yameshamwagika na hayazoleki, kama ulivyoxema tayari kimeshakatikia nyie watu wazma kaeni na myaweke xawa ikibidi kama bado jinamiz la kupendana linawaxumbua maana mwaweza do worse things, bt mkikaa na kuyaongea kwa kuyaweka xawa hakuna baya hapo,, all in all iwe issue ya wewe na x wako au wewe, x wako na dogo pekee na cvinginevyo maana dunia hii mnh.
Thanks my dear

Iweke siri usiseme kitu sawa mdogo wangu? Huna kosa, mdogo wako hana kosa
Na x wako hana kosa. Wape support kama kawa kwen wedding yao. Thank u
Asante Kaizer nitafanya hivyo..

Mimi naamini kuwa wadada tuna power kubwa sana ya kukataa kitu, hasa katika relationship. kama mdada hataki kuendelea na relationship, itakufa. tumia usichana wako, hata huyo kaka aje ki-design gani sema hapana kwa sake ya mdogo wako.
kwa maana hiyo, jitahidi mdogo wako asijue yaliyopita kwani yanaweza kuwaweka sehemu ngumu wote watatu.
Ila hapa tahadhali, kama huyo kaka bado ana chembe za feelings kwako, anaweza kuku-blackmail kuwa umpe angalau siku moja, otherwise atasema.......... tafadhali usikubaliane naye, mruhusu akaseme, na ninakuhakikishia hatasema
Nakushukuru mpendwa nimekuelewa vema sana ..Kuna roho ilikuwa inanisumbua my dear nasali sana sana
Nimekaa nikawa nawaza je ni haki mbele ya mungu au nifanye nini mie?
Nitaitunza siri hii

Unajihofia kumtamani shemejio?
Yaani mtoto wa kike unawasiwasi na uwezo wako wa kutunza siri? Mmh, tunahitaji unyago aisee!
Ningekuwa namtamani shemeji nisingeiweka hapa kuomba ushauri kwa watu wenye akili na upeo wao ..kama niseme hili jambo au ni keep secret
asante

mi hapa hata shida sijaiona, yaani 10 years back then ndio iwe ishu?

Thanx@kibali
Nimeamini kweli penye wengi hapaharibiki neno
 
Last edited by a moderator:
kwanza pole,lakini wat yu can do kwa ajili ya furaha ya mdogo wako ni kunyamaza kimwa kwa sababu ukishasema tu hatakua na amani na wewe tena wala mume wake,maana hawezi kuamini kuwa hamna feelings tena as yu know feelings zpo ndani ya nafsi so KEEP IT TO URSELF AND TELL THE GUY HE HAS TO ALSO!kwa sabu believe me hakuna kitu kinatuharibia ndoa siku hizi kama previous relationships,ukisema itakuwa shida kwa mumeo na kwa mdogo wako why shud yu take a risk?NO!we umesema una amani na ndoa yako muache na mdog wako nae awe na mani na ya kwake kuna nyakati kutokusema kitu ni afadhali kuliko kusema NOT ALL TRUTH HEALS!
 
It started with the distance, let it ends with the distance. u dont wana talk abt it, do u? coz if u talk, u wont stop talking abt it, fanikisha sherehe and go back to ur place, maintain distance as previously,,,
 
Hiyo habari ibaki kuwa siri yenu, hapakuwa na dhamira ya kilichotokea. Lakini pia upate ushauri nasaha kwa kuwa jambo hilo mumeo akilijua ni lazima litamboa, pia nduguyo litamshtua sana. X sasa anakuwa sehemu ya familia hivyo mtakuwa mnakutana katika matukio mengi ya kifamilia, hivyo amani na furaha katika ndoa zenu inaweza kuwa shakani
 
cha msingi ni kuongea na X na utoe baraka zote kwani mpaka sasa inawezekana kakosa amani kuwa unaweza kuzuia au kuvuruga .,. uyesha ukomavu kubaliana na hali halisi kwani hakuna jinsi na uzuri au tatizo walikutana bila kufahamiana .. pili nduguyo kama atakuwa na ujauzito na ikaeleweka nini kilitokea nyuma itamuumiza kisaikolojia
 
cha msingi ni kuongea na X na utoe baraka zote kwani mpaka sasa inawezekana kakosa amani kuwa unaweza kuzuia au kuvuruga .,. uyesha ukomavu kubaliana na hali halisi kwani hakuna jinsi na uzuri au tatizo walikutana bila kufahamiana .. pili nduguyo kama atakuwa na ujauzito na ikaeleweka nini kilitokea nyuma itamuumiza kisaikolojia

asante kwa ushauri noted
 
Just keep quite mamito, maybe unaweza kumuita X wako ukaueleza huyo ni mdogo wako na bado ikawa siri yenu tu wawili but chondechonde mamii usirudishe mahusiano na X wako, muachie mdogo wako kwa raha zake
 
Ukikaa kimya nafsi itakusuta daily ni kheri umwambie mdogo wako yeye ndo mwamuzi wa mwisho
 
Miaka kumi bado wampenda chuna tu chunga ndoa yako maisha yaende mbele bana
 
mmmhhh lakini pamoja na kutunza siri naona kama vile umwambie mdogo wako lakini nayo mmmmhhh patamu hapo
 
pole sana kwa hilo ndugu yangu ila sidhani kama hiyo ni issue kubwa kutegemeana na mtakavyoihandle we mweleze mdogo wako ukweli ili ajue mapema na ni veme akasikia kutoka kwako kuliko kwa mtu mwngne mana huwezi jua atasikia habari hiyo katika hali gani.
pia kama hauna feelings naye ni veme pia lakini na huyo mwanaume je umejua msimamo wake? mana kuna zile habari za kukumbushia enzi............. wekeni mambo sawa mapema kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza badae
 
Nimegundua kwanini tafiti zinaonyesha watoto wengi wa wanandoa wanakuwa na vinasaba tofauti na baba wa ndoa!.
Ishu ni X walio karibu mitaani huwa hawasahauliki vichwani mwa watu.
 
Wewe piga kimya mambo yakae jinsi yalivo now. Past is past una mume wako tulia funga mdomo kabisa
 
Back
Top Bottom