Haya tumeshamalizana na Chato Dhahabu Nyota FC, hivyo Jumamosi 'anakufa' kati ya Goli 4 hadi 6 pale Sukuma City

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu tuwafunge bali tuwafunge Goli nyingi kuanzia 4 hadi 6 ili nchi itulie.

Na Mzigo amepewa aliyekuwa Mchezaji wetu wa zamani wa Simba SC na hata Wao pia ( aishiye Mbezi Kimara Jirani na Makazi ya akina Haruna Moshi, Danny Mrwanda na Mwanamuziki Mtangazaji Jose Mara ) ili autembeze na Wachezaji Maswahiba wa Timu husika ili Walegeze ( wacheze chini ya Kiwango ) huku akishirikiana na Mlopolopo wao ( Kihabari na Mawasiliano ) ambaye ni mwana Kigamboni Wavuvi FC lia lia na zamani alikuwa akifanya Kazi katika Media ya Marehemu Mchagga Tajiri aliyeacha Ugomvi wa Kisheria wa Mjane wake na Wanawe wakubwa Wawili juu ya Urithi wa Mali za Marehemu Baba yao na Mama yao aliyetangulia kabla ya Baba yao.
 
Sielewagi kila mara Yanga kuhusishwa na kuhonga/ kutoa rushwa ili ishinde.
1. Je, Yanga haina timu nzuri, na hvyo haijiamini??
2. Je, kama mpk mtu baki anajua, bodi ya ligi haijui na kuichukulia hatua Yanga..???
3. Yanga wanahela nyingi kiasi cha kununua kila mechi mpaka bodi ya Ligi…?? ( Hii ni kwa sababu kila inapotokea wameshinda, watu husema Yanga wamenunua mechi..!!)
4. Timu zingine ni maskini kiasi gani na hawataki ubingwa/ushindi kiasi gani mpaka wakubali kununuliwa na Yanga..??
5. Ubingwa wa Simba mara 4 mfululizo haukuhusisha kununua gimu yoyote..??
6. Ubingwa wa Yanga mara 2 mfululizo ulitokea kwa sababu alinunua mechi nyingi au ni juhudi za wachezaji…??
7. Simba alishawahi kutaka kununuliwa akakataa?? Na kama alikataa kwanini asiripoti bodi ya ligi..??
8. Kama ameweza kununua TIMU ZINGINE ZOTE, kwanini asiwe bingwa MIAKA YOTE mpk akaruhusu Simba akachukua ubingwa mfululizo..??

Nway, hayo ni maswali machache kati ya mengi kuhusiana na hiyo tuhuma ya Yanga kununua matches kila siku. Na nadhani watuhumu wengi hawana UHAKIKA THABITI wa tuhuma wanazotoa zaidi ya kuongea wakiongozwa na ushabiki na upenzi wa timu zao wanazoshabikia.
 
Kwani kila anachosema popoma kina ukweli? Hayo mawazo yake achana nae.
 
Na kuna haja gani ya kutumia mamilioni/mabilioni kufanya usajili wa wachezaji mbalimbali, wakati timu za kwenye ligi zinaweza kununulika kirahisi..?? Kwanini hizo hela zisitumike kununulia mechi za ligi…???
Swali kuntu sana
 
Hongeni na CAF mpate kundi rahisi Leo hii
 
Sielewagi kila mara Yanga kuhusishwa na kuhonga/ kutoa rushwa ili ishinde.
1. Je, Yanga haina timu nzuri, na hvyo haijiamini??
2. Je, kama mpk mtu baki anajua, bodi ya ligi haijui na kuichukulia hatua Yanga..???
3. Yanga wanahela nyingi kiasi cha kununua kila mechi mpaka bodi ya Ligi…?? ( Hii ni kwa sababu kila inapotokea wameshinda, watu husema Yanga wamenunua mechi..!!)
4. Timu zingine ni maskini kiasi gani na hawataki ubingwa/ushindi kiasi gani mpaka wakubali kununuliwa na Yanga..??
5. Ubingwa wa Simba mara 4 mfululizo haukuhusisha kununua gimu yoyote..??
6. Ubingwa wa Yanga mara 2 mfululizo ulitokea kwa sababu alinunua mechi nyingi au ni juhudi za wachezaji…??
7. Simba alishawahi kutaka kununuliwa akakataa?? Na kama alikataa kwanini asiripoti bodi ya ligi..??
8. Kama ameweza kununua TIMU ZINGINE ZOTE, kwanini asiwe bingwa MIAKA YOTE mpk akaruhusu Simba akachukua ubingwa mfululizo..??

Nway, hayo ni maswali machache kati ya mengi kuhusiana na hiyo tuhuma ya Yanga kununua matches kila siku. Na nadhani watuhumu wengi hawana UHAKIKA THABITI wa tuhuma wanazotoa zaidi ya kuongea wakiongozwa na ushabiki na upenzi wa timu zao wanazoshabikia.

Pole sana Mkuu.
Huyu ni Moja kati ya wale WATU wa WAPUMBAVU mno.

Hana hoja na Hawezi akajibu hoja za MSINGI kama ulizo ziorodhesha.

AMEKAA UMBEA, ujuaji, Masifaa ya Kijinga na Kutafuta attention na UMAARUFU usio na msingi.

ANAANDIKA Kila Baada ya Dakika Nyuzi as if JJJF Inawalipa WATU wa namna yake.

Nimemuweka kwenye kundi la
GENARA.
 
Na kuna haja gani ya kutumia mamilioni/mabilioni kufanya usajili wa wachezaji mbalimbali, wakati timu za kwenye ligi zinaweza kununulika kirahisi..?? Kwanini hizo hela zisitumike kununulia mechi za ligi…???

Akiweza Kujibu HOJA kama Hiyo ninajitoa Jamii Forum.

Jana tu nimetoka ku COMENT kwamba

Dawa ya Rushwa, Hongo, Takrima nk ni .....

1. kufanya Usajili mzuri WA wachezaji.

2. Kuwa na Scaut Bora ya kunasa wachezaji wazuri.

3.kuwa na Technique Bench Bora zaidi la ufundi.

4. Kuwa na Facilities Bora za MICHEZO ZENYE Kila kitu Eg Avic town.

5.Kuwa na wawekezaji Bora.

6. Na hata Mashabiki WANAO Jielewa nk...
 
Sielewagi kila mara Yanga kuhusishwa na kuhonga/ kutoa rushwa ili ishinde.
1. Je, Yanga haina timu nzuri, na hvyo haijiamini??
2. Je, kama mpk mtu baki anajua, bodi ya ligi haijui na kuichukulia hatua Yanga..???
3. Yanga wanahela nyingi kiasi cha kununua kila mechi mpaka bodi ya Ligi…?? ( Hii ni kwa sababu kila inapotokea wameshinda, watu husema Yanga wamenunua mechi..!!)
4. Timu zingine ni maskini kiasi gani na hawataki ubingwa/ushindi kiasi gani mpaka wakubali kununuliwa na Yanga..??
5. Ubingwa wa Simba mara 4 mfululizo haukuhusisha kununua gimu yoyote..??
6. Ubingwa wa Yanga mara 2 mfululizo ulitokea kwa sababu alinunua mechi nyingi au ni juhudi za wachezaji…??
7. Simba alishawahi kutaka kununuliwa akakataa?? Na kama alikataa kwanini asiripoti bodi ya ligi..??
8. Kama ameweza kununua TIMU ZINGINE ZOTE, kwanini asiwe bingwa MIAKA YOTE mpk akaruhusu Simba akachukua ubingwa mfululizo..??

Nway, hayo ni maswali machache kati ya mengi kuhusiana na hiyo tuhuma ya Yanga kununua matches kila siku. Na nadhani watuhumu wengi hawana UHAKIKA THABITI wa tuhuma wanazotoa zaidi ya kuongea wakiongozwa na ushabiki na upenzi wa timu zao wanazoshabikia.
Naomba nitajie au nionyeshe Yanga SC yako imetajwa wapi katika huu Uzi hadi uanze Kuwashwawashwa na kuwa na Kiherehere.
 
Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu tuwafunge bali tuwafunge Goli nyingi kuanzia 4 hadi 6 ili nchi itulie.

Na Mzigo amepewa aliyekuwa Mchezaji wetu wa zamani wa Simba SC na hata Wao pia ( aishiye Mbezi Kimara Jirani na Makazi ya akina Haruna Moshi, Danny Mrwanda na Mwanamuziki Mtangazaji Jose Mara ) ili autembeze na Wachezaji Maswahiba wa Timu husika ili Walegeze ( wacheze chini ya Kiwango ) huku akishirikiana na Mlopolopo wao ( Kihabari na Mawasiliano ) ambaye ni mwana Kigamboni Wavuvi FC lia lia na zamani alikuwa akifanya Kazi katika Media ya Marehemu Mchagga Tajiri aliyeacha Ugomvi wa Kisheria wa Mjane wake na Wanawe wakubwa Wawili juu ya Urithi wa Mali za Marehemu Baba yao na Mama yao aliyetangulia kabla ya Baba yao.
Kweli bange haimuachi mtu salama.
 
juzi injinia na gamondi walishikana mashati.
Kapewa mechi moja.
Hizo za ndani ndani
 
Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu tuwafunge bali tuwafunge Goli nyingi kuanzia 4 hadi 6 ili nchi itulie.

Na Mzigo amepewa aliyekuwa Mchezaji wetu wa zamani wa Simba SC na hata Wao pia ( aishiye Mbezi Kimara Jirani na Makazi ya akina Haruna Moshi, Danny Mrwanda na Mwanamuziki Mtangazaji Jose Mara ) ili autembeze na Wachezaji Maswahiba wa Timu husika ili Walegeze ( wacheze chini ya Kiwango ) huku akishirikiana na Mlopolopo wao ( Kihabari na Mawasiliano ) ambaye ni mwana Kigamboni Wavuvi FC lia lia na zamani alikuwa akifanya Kazi katika Media ya Marehemu Mchagga Tajiri aliyeacha Ugomvi wa Kisheria wa Mjane wake na Wanawe wakubwa Wawili juu ya Urithi wa Mali za Marehemu Baba yao na Mama yao aliyetangulia kabla ya Baba yao.
Sasa wewe timu yako dhaifu inashinda mechi kipapatupapatu itakuwaje timu Bora ya yanga ishindwe kushinda? Kati ya timu yako na yanga ipi ni timu Bora? Yaani timu mbovu ikishinda ni sawa Ila timu Bora ikishinda ni wamehonga? Akili za wapi hizi🤔🤔🤔, Yanga KUFUNGWA na ihefu aiondoi ubora wao na Wala aimaanishi kwamba wataendelea KUFUNGWA, mpira auko ivyo juzi kati man city kagongwa vizuri tu licha ya ubora wao na iyo aiondoi ubora wao na kombe watabeba Tena, ivyo punguzeni midomo ligi ndiyo imeanza rasmi msifikiri yanga atateleza Tena kiboya chukueni tahadhari
 
Na kuna haja gani ya kutumia mamilioni/mabilioni kufanya usajili wa wachezaji mbalimbali, wakati timu za kwenye ligi zinaweza kununulika kirahisi..?? Kwanini hizo hela zisitumike kununulia mechi za ligi…???
Yanga hata iwe km man City, mshindani wake Ni Simba, bila Simba kupoteza Yanga haiwezi kuwa bingwa wa ligi.

Usichoelewa!
Wanahonga Simba ifungwe wakati wao wakikaza buti kushinda mechi zao.

Vitu vidogo tu kuelewa lkn unaandika utumbo. Umeanza ushabiki lini.
 
Back
Top Bottom