GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimecheza Mpira na naujua vyema tu Mpira hivyo nikikuambia hujui mpira au fulani hajui mpira Wewe nikubalie tu tena kwa 100% kwani huwa sibahatishi. Haya nyie Viongozi wa Simba SC upesi sana njooni PM ili niwapeni Vyuma viwili vya Kiganda Mmoja ni Midfield Kisheti kama alivyokuwa Rafiki yangu Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima 'Fabregas' na Mmoja ni Wing Midfield hatari ya Kushoto ambaye pia hata Namba Tisa anaimudu vile vile ambao nina uhakika mkiwapata hawa mtawaza Kunijengea hata Mnara kwa Kunishukuru kwani mtakuwa mmelamba Dume hasa.
Poti wangu Crescentius Magori tafadhali njoo hapa JamiiForums kule PM nikupe Majina yao na mtanishukuru mno tu.
Poti wangu Crescentius Magori tafadhali njoo hapa JamiiForums kule PM nikupe Majina yao na mtanishukuru mno tu.