Haya Uongozi wa Simba SC nimeshapata Wachezaji wa maana Wawili wa Kuwaleteeni huko Tanzania kutoka hapa nchini Uganda, hivyo nitafuteni upesi

Haya Uongozi wa Simba SC nimeshapata Wachezaji wa maana Wawili wa Kuwaleteeni huko Tanzania kutoka hapa nchini Uganda, hivyo nitafuteni upesi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimecheza Mpira na naujua vyema tu Mpira hivyo nikikuambia hujui mpira au fulani hajui mpira Wewe nikubalie tu tena kwa 100% kwani huwa sibahatishi. Haya nyie Viongozi wa Simba SC upesi sana njooni PM ili niwapeni Vyuma viwili vya Kiganda Mmoja ni Midfield Kisheti kama alivyokuwa Rafiki yangu Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima 'Fabregas' na Mmoja ni Wing Midfield hatari ya Kushoto ambaye pia hata Namba Tisa anaimudu vile vile ambao nina uhakika mkiwapata hawa mtawaza Kunijengea hata Mnara kwa Kunishukuru kwani mtakuwa mmelamba Dume hasa.

Poti wangu Crescentius Magori tafadhali njoo hapa JamiiForums kule PM nikupe Majina yao na mtanishukuru mno tu.
 
Back
Top Bottom