Haya Visiwani dhidi ya wabara na mambo ya Yuda ni Michezo tu kama michezo mingine

D

DeletedMember281674

Guest
Hii mbinu imeshapitwa na wakati, wahusika katika Dawati husika wajaribu kuumiza vichwa Kuja na mbinu zingine lakini siyo hizi mbanga.

Pale panapokuwa na mambo Makubwa ya kitaifa yanayohitaji mjadala wa kitaifa kuyadili lazima yataibuka mambo yasiyoeleweka kwa wananchi wakati mijadala mikubwa ya nchi ikipita tu bila hata wananchi kuyajadili.

Mifano ya mijadala kwa sasa iliyopo mbele yetu:-

1. Bajeti iliyowasilishwa 2026/2027 na tozo na Kodi zisizorafiki kwa wananchi wa KAWAIDA mfano betting

2. Diplomasia na Marekani bado mbombo ngafu ikijumuisha na Umoja wa Ulaya

3. Ajira bado kizingumkuti hususani kwa Gen Z

4. Wizara ya Vijana bado Hali Tete kujua vijana wanataka Nini bado wanajipanga

5. Nchi masikini kugharamia wachezaji wa kimataifa wastaafu badala ya Fedha hizo kujenga barabaraba au kuzalisha Ajira

6. Utekaji Mikoa ya DSM, n.k. bado Hali ni tete

7. Maandamo yasiyojulikana yanayopangwa 7/7

8. Gharama za mafuta na nishati kupanda ghafla ikiwemo gesi majumbani

9. Kesi ya ATL kupigwa danadana

10. Ufisadi wa Waziri kuingia bungeni na begi la Louis Vuitton lenye thamani sawa na ujenzi wa matundu ya choo na utengenezaji wa Madawati na ununuzi wa dawa

11. Ununuzi wa Magari ya LC 300 yenye thamani kubwa ambao wananchi hawaafiki

12. Bajeti ya safari za ndani na nje kuongezeka hadi kufikia Trilioni bila kujali kupunguza gharama hizo kama enzi za JPM
13. N.K.

Hii ni Michezo tu kama michezo mingine, Kuna haja ya kuachia watu kuwapa Uhuru wa kutoa maoni ili kulijenga Taifa la Tanzania

Tubadilike kifikra
 
Kwahiyo wewe kwa Akili yako unaona hili jambo zito la Ubaguzi siyo la Kitaifa?

Minyukano mizito itakayopelekea Wazanzibari kuwa na hofu ya kuishi Bara unaliona halina maana?

Kwa taarifa yako huu uamsho wa Tanganyika ndio hatari zaidi
 
hiyo nayo ni sababu mojawapo katika nyingi,katika kutugawa kwa kitumia hoja za UDINI,UKABILA uzanzibari na ubara,..wakifilisika wakiishiwa SERA za kisiasa hutumia UDINI na UKABILA (uzanzibari na ubara)....ili ionekane sababu ya kutokubalika ni DINI zao na kabilla lao sehemu wanakotoka,ili wapate kuungwa mkono na watu wa kabila lao na dini yao...(wanakuza UDINI na UKABILA ) ili wapate kuungwa mkono na watu wa dinii zao na kabila lao (Divide and rule).
 
Ndiyo maana nikasema hii ni Michezo tu... kujua haya inabidi uwe intelligence enough katika kuchakata data za intelligence...utakuja na hizi conclusion
 
hiyo nayo ni sababu mojawapo katika nyingi,katika kutugawa kwa kitumia hoja za UDINI,UKABILA uzanzibari na ubara,..wakifilisika wakiishiwa SERA za kisiasa hutumia UDINI na UKABILA (uzanzibari na ubara)....ili ionekane sababu ya kutokubalika ni DINI zao na kabilla lao sehemu wanakotoka,ili wapate kuungwa mkono na watu wa kabila lao na dini yao...(wanakuza UDINI na UKABILA ) ili wapate kuungwa mkono na watu wa dinii zao na kabila lao (Divide and rule).

Ndiyo maana nikasema hii ni Michezo tu kama michezo mingine, ukiwa una uwezo wa kufanya analysis ya data ndiyo utaelewa
 
Back
Top Bottom