Haya wakuu wa shule pelekeni wanafunzi barabarani na nguo zao za nyumbani kama mlivyo elekezwa sawaaa!

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,859
Reaction score
2,894
CCM bado ina mambo ya kishamba sana na haibadirishi mbinu ndio maana hata nchi miakabyote matatizo yale yale, haya tunasubiri hilo nyomi la wanafunzi maana nasikia tayari maelekezo yamesha tolewa huko wanafunzi kuanzia darasa la 6 hadi form five na six wajipange barabarani na wavae nguo za nyumbani.

Tunaanza kufundisha watoto uongo tangu wadogo halafu huku juu tunahubiriana uzalendo,
 
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Back
Top Bottom