Haya wale Bana Kongo (Bandeko Nangai) Wenzangu hapa JamiiForums Msaada tafadhali

Haya wale Bana Kongo (Bandeko Nangai) Wenzangu hapa JamiiForums Msaada tafadhali

Kila Mbongo anakosekaje hapa??

Kwasasa sijaona wa kumshinda ZAPARO DE GUERE
Uko sahihi Mkuu huyo Zaparo De Guere wa Extra Musica Zangul yake Rais na Mpiga Solo Gitaa Hatari kuwahi kutokea Congo ya Brazaville Roga Roga ( Ibambi Ikombi ) kwa sasa ni Habari nyingine. Anajua Kughani ( Kurapu ) pamoja na Kucheza akimuiga / wakimuiga Bingwa wao GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Pitshou Lisimo ) wa Wenge BCBG yake JB Mpiana.
 
Je, una Maoni gani kuhusu aliyekuwa Keyboardist wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Theo Bindens na hawa Wawili alionao sasa akina Geremi Kitubu na Cedric Geza?
Nilijua tu lazima utafika huku.

btw, belle marche jamaa ametisha sana.
 
Back
Top Bottom