Haya wale wa MTFE

Haya wale wa MTFE

totoadela

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
369
Reaction score
1,106
Habari ndugu zanguni,

Ndungu zanguni naomba tuweni makini na biashara za mtandaoni watu wanalia na MTFE huku wengine wamepata stroke wamelazwa.

Kwa nini mwalimu wetu amekuwa kipofu kiasi hiki[emoji848][emoji848]watu hawaelewi kabisaa ila baadae wanapoanza kulia ndo wanakumbuka shuka kumekucha.

HAYA TUJIFUNZE TENA KUPITIA MTFE NA HIZO BIASHARA NYINGINE ZINAZOHUSIANA KAMA HIZI
 
WaTz ni wagumu kujifunza walipigwa na Kalynda pote hapo hakuna aliejifunza!!! Hizi Investment Platform ni za kitapeli, sijui mtu anatoa wapi ujasiri wa kujiunga na mtandao wa namna hii
 
Natafuta vijana wangu tuanzishe platform moja Na wadau Wa nje huko tuwapige mana naona watu Wa nje wanapiga pesa wanapeleka kwao Bora sisi tutawekeza kwetu hapa hapa Na tutatoa ajira za kutosha baada ya kutengeneza tilion kadhaa
 
Itakua na ww upo close na hzo platforms, mi kuskia hicho kitu ni baada ya watu kulizwa nlianza kuona status za wadau wangu kuulizwa ndo nkaambiwa
 
Jambo la kizalendo sana hili
 
WaTz ni wagumu kujifunza walipigwa na Kalynda pote hapo hakuna aliejifunza!!! Hizi Investment Platform ni za kitapeli, sijui mtu anatoa wapi ujasiri wa kujiunga na mtandao wa namna hii
Kalynda ya juzi hiyo, tangu 2007 wanapigwa na kina DECI na mingine kibao ikafuata.

Hata ukija mwingine watapigwa. Kwanini? Sababu mwafrika hasa mtanzania bado anasumbuliwa na UJINGA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua na ww upo close na hzo platforms, mi kuskia hicho kitu ni baada ya watu kulizwa nlianza kuona status za wadau wangu kuulizwa ndo nkaambiwa
Nimesikia kama wewe ulivyosikia ila ukikaa na watu before watu hawajapigwa na tukio watu wanawasifia hasaa kumbe yalikuwa yanakuja ni makubwa zaidi[emoji2]
 
Na wewe pia upo close za hizo kitu maana washikaji zako wamelizwa
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23] nimecheka sanaa..
Bora umenisaidia kujieleza [emoji123]
 
Uvivu mbaya sana,jamaa yangu kapigwa mtfe hakomi Leo kahamia Bitcoin anadai huko uhakika,mie nshamwambia ni suala la mufa Nako ataloose tu
 
Back
Top Bottom