Haya wale Wanasimba SC wenzangu msioogopa ' Kuroga ' jitokezeni upesi tujipange ' kumnyoosha ' Mtu tarehe 30 Septemba 2018

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa kipigo ambacho tunataka kumpa ' Mtu ' wiki mbili zijazo Uwanja wa Taifa kwa sasa katika Kamati yetu binafsi ya Ulozi / Urogaji tunahitaji Watu zaidi kwakuwa mkakati wa ' Kuroga ' sasa umebadilika na siku hiyo tunataka si tu Simba SC tushinde bali ikiwezekana hata Wachezaji wa ' Chura Churani ' wachanganyikiwe na ' wapigane ' wenyewe kwa wenyewe kuanzia Taifa hadi Klabuni Kwao mitaa ya Twiga na Jangwani.

Kamati yetu inahitaji Watu wafuatao:

1. Watakaokesha Uwanjani Siku saba ( 7 ) kabla ya mchezo
2. Watakaoweza kubeba Hirizi nzito kwa siku tatu ( 3 ) kabla ya mchezo
3. Watakaoweza kushika na kurusha Njiwa wakati wa mchezo
4. Watakaoweza kufanya mambo ya Kufuru kabisa pale nje na ndani ya Uwanja
5. Watakaoweza Kuchinja Paka waliokomaa Saba ( 7 ) usiku wa kuamkia mchezo wenyewe
6. Watakaoweza kulifuatilia Gari litakalowabeba Wachezaji wa ' Churani Churani ' na kulirushia Jini
7. Watakaoweza kuhakikisha wanafanya Kadri wawezalo kulipata Jasho bichi la Mchezaji Herritier Makambo

Mengine yanatisha siwezi kuweka hapa ila mkija tutajuzana zaidi. Kwa aliye tayari ani PM upesi tafadhali kwani tuna Wiki mbili tu za Kufanya ' Kafara ' la Kutisha kwani safari tu hatutaki tena kuwaonea huruma na tunataka ' turoge ' vibaya hadi Siku ya Hukumu tukienda Mbinguni Mwenyezi Mungu ashindwe Kutusamehe na atufanye kuwa ' Kuni ' za Kuchomea.

Nawasilisha.
 
Kama mlivyo mnyoosha Ndada Fc.
 
Back
Top Bottom