Haya wale wasikilizaji wa radio enzi hizo tukatane hapa tukumbushane baadhi ya vipindi

Haya wale wasikilizaji wa radio enzi hizo tukatane hapa tukumbushane baadhi ya vipindi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Redio Tanzania kila jpili saa 2:30 Hadi saa 3 usiku, kipindi Cha Twende na wakati( igizo) kulikuwa na wahusika Miliam, masalakurangwa n.k daah nilikuwa nafurahia sanaaaaaa,

Mama na mwana Bi Debora Mwenda, Alecia Maneno Kipindi Safi sanaaaa

Majira na kipindi Cha harakati.....Daah nilifurahia sanaaaaa

Kipindi Cha michezo , Ezekiel mwalongo, Halima mchuka niliwapendaaa sanaaaa

Kuna watangazaji wa Radio Tanzania niliwapenda sanaaa wamikonia pia mfano...Sara Dumba, Richard Leo( Moro/mwanza), Restituta bukole ( Shinyanga), Monika Lyampawe,!! Enzi hizo Radio Tanzania ilikuwa kweli Redio ya taifa siyo Sasa imejaa uchafu mtupu na uozo wa CCM
 
Ilikuw good Sana ,hasa ka Melody na wimbo kabla ya igizo.heli niwe peke yangu.......hell niwe nasubira ........hell niwe na mmoja ....ukimwi watisha /waniua us kipenzi ,waniua ua mamaee ×2 maneno yako matamu waniua ua ...***** waniua ua kipenzi waniuaua[emoji24][emoji24]mtu ulikuw unaji fill Kama unajanga vile[emoji2][emoji2]
Tatizo watu saivi ukimwi wanachukulia kama mafua, mambo yamebadilika sana
 
Back
Top Bottom