[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Redio Tanzania kila jpili saa 2:30 Hadi saa 3 usiku, kipindi Cha Twende na wakati( igizo) kulikuwa na wahusika Miliam, masalakurangwa n.k daah nilikuwa nafurahia sanaaaaaa,
Mama na mwana Bi Debora Mwenda, Alecia Maneno Kipindi Safi sanaaaa
Majira na kipindi Cha harakati.....Daah nilifurahia sanaaaaa
Kipindi Cha michezo , Ezekiel mwalongo, Halima mchuka niliwapendaaa sanaaaa
Kuna watangazaji wa Radio Tanzania niliwapenda sanaaa wamikonia pia mfano...Sara Dumba, Richard Leo( Moro/mwanza), Restituta bukole ( Shinyanga), Monika Lyampawe,!! Enzi hizo Radio Tanzania ilikuwa kweli Redio ya taifa siyo Sasa imejaa uchafu mtupu na uozo wa CCM