Haya waliyofanya wasanii wetu walioenda Korea siyo sawa kabisa

Nyie wadada wa kazi huwa mnachekeshwa na mambo madogo ambayo hata si vichekesho.
Ila ndugu zangu kweli mpo na stress sana. Hivi kweli saa Tisa alfajiri hii upo online unaniita mimi dada wa kazi mtu ambaye hata hunifahamu? Wala hujui jinsia yangu.

Utakuwa una stress sana ndio maana hata hiyo clip haikuchekeshi. Pole sana, Tafuta msaada wa kitabibu kabla hali haijawa mbaya ukajidhuru.
 
Ila ndugu zangu kweli mpo na stress sana. Hivi kweli saa Tisa alfajiri hii upo online unaniita mimi dada wa kazi mtu ambaye hata hunifahamu? Wala hujui jinsia yangu.

Utakuwa una stress sana ndio maana hata hiyo clip haikuchekeshi. Pole sana, Tafuta msaada wa kitabibu kabla hali haijawa mbaya ukajidhuru
Nchi nliyopo kumekucha sasa. Sijajua kama huko uliko wewe ni saa tisa. Sijasema kwa kukudharau najua hizo nazo ni kazi. Mwanaume hawezi akawa anacheka cheka kama bwabwa. Mwanaume anakuwa serious na anacheka kwa mambo ya akili.
 
Kwa nchi gani uliyopo wewe?? Toa ndoto zako hapa.. Ungekuwa nchi yoyote wewe usingeonea wivu Wasanii wa tz kwenda korea. Ila imekuuma sana, unatamani ungekuwa wewe sio?? Pole sana ila bado nafasi unayo, siku hizi kuwa msanii ni rahisi tu. Na nimeona una kipaji,
 
Tungefanyiwa sis tungepiga kelele ubaguzi. Hivi si vichekesho, ni kumock culture ya watu. Ustaarabu muhimu.

View: https://www.instagram.com/reel/C9Ft-29SnfL/?igsh=MTd6MzdtZHN5Y3R0OA==

Shida ya hao wasanii wengi wao elimu hakuna ni ujanja ujanja na kuroga ndio umewasaidia kupenya sasa hawana exposure na dunia inavyoendaa..

Huwezi kwenda nchi ya mtu ukaanza ku imitate lugha usiyoijua bila maelekezo imagine hapo wameongea neno lisilofaa kwa wenyejii na wakasikia.

Hawa wenzetu wapo very sensitive na vitu vidogovidogo tu.

Yaani mzungu au mkorea leo aje bongo avaa kanga then aanze kujiigiza kiswahili akitamka matusi tutamchukuliaje...!

Serikali mnaowapeleka hao wasanii huko kuwapa exposure mwape na miongozo pia mnaweza kuchafua nchi badala ya kujenga..
 
Punguza ujuaji mkuu, hujui hata kilichokuwa kinaendelea behind the scene.
 
Kwa nchi gani uliyopo wewe?? Toa ndoto zako hapa.. Ungekuwa nchi yoyote wewe usingeonea wivu Wasanii wa tz kwenda korea. Ila imekuuma sana, unatamani ungekuwa wewe sio?? Pole sana ila bado nafasi unayo, siku hizi kuwa msanii ni rahisi tu. Na nimeona una kipaji,
Dada ni kama umepanic. Anyway nyie najua huwa mna enjoy sana hayo mambo. Fanya kazi boss wako asije kugombeza. Just calm down sister maisha hayataki hasira.
 
Back
Top Bottom