Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Matumizi mabaya ya kodi yakeMpaka sasa sijakiona kilichokuuma ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi mabaya ya kodi yakeMpaka sasa sijakiona kilichokuuma ni nini?
Mabeki 3 mna manenoMkuu wewe una dalili zote za msongo wa mawazo, jaribu kuwaona wataalamu mapema. Haya maisha hupaswi kuyachukulia kwa makasiriko kiasi hicho.
Umejibu vemaIla ndugu zangu kweli mpo na stress sana. Hivi kweli saa Tisa alfajiri hii upo online unaniita mimi dada wa kazi mtu ambaye hata hunifahamu?? Wala hujui jinsia yangu..
Utakuwa una stress sana ndio maana hata hiyo clip haikuchekeshi. Pole sana, Tafuta msaada wa kitabibu kabla hali haijawa mbaya ukajidhuru
Waambie hao,Nchi nliyopo kumekucha sasa. Sijajua kama huko uliko wewe ni saa tisa. Sijasema kwa kukudharau najua hizo nazo ni kazi. Mwanaume hawezi akawa anacheka cheka kama bwabwa. Mwanaume anakuwa serious na anacheka kwa mambo ya akili.
Tungefanyiwa sis tungepiga kelele ubaguzi. Hivi si vichekesho, ni kumock culture ya watu. Ustaarabu muhimu.
View: https://www.instagram.com/reel/C9Ft-29SnfL/?igsh=MTd6MzdtZHN5Y3R0OA==
Kumbuka, hata kinachokuchekesha, kisiposemwa kwa lugha uliyoizoea, kinakuwa hakichekeshi..!!Nyie wadada wa kazi huwa mnachekeshwa na mambo madogo ambayo hata si vichekesho.
Ujuaji gani wakati vitu hipo open hapo walichukua clip kama comedy na wakawa wanaigia lugha ya watu na sio lugha yao..Punguza ujuaji mkuu, hujui hata kilichokuwa kinaendelea behind the scene.
Tungefanyiwa sis tungepiga kelele ubaguzi. Hivi si vichekesho, ni kumock culture ya watu. Ustaarabu muhimu.
View: https://www.instagram.com/reel/C9Ft-29SnfL/?igsh=MTd6MzdtZHN5Y3R0OA==
Sasa hoja yako ni nini haswa, hao wanachofanya ni comedy tu. Ni nini cha ajabu hapo zaidi ya kuwa wanafanya comedy, au kwako lengo la comedy ni nini haswa. Labda hoja ingekuwa ni kwa gharama za nani wanafanya yote hayo, kama ni kwa kodi zetu hilo ni kosa sawa na uhujumu uchumi. Kwani kinachofanyika hapo hakitokuwa na tamani yoyote ya pesa inayotumika hapo.Ujuaji gani wakati vitu hipo open hapo walichukua clip kama comedy na wakawa wanaigia lugha ya watu na sio lugha yao..
Unazifahamu caricutures? Tatizo ni hizo facial expressions za kumock na accent za kumock huku wakiongea vitu visivyoeleweka. Nimependezwa na mavazi yao, sina shida nayo. Sisi huwa tunapigia kelele black caricutures, tusiwafanyie wenzetu pia.Sikioni cha ajabu hapo, ni usanii kama usanii mwengine.
Kynbuka hao wapo nafunzoni, hata hizo nguo walizovaa ni "costumes" wamepewa hapo hapo studio wazitumie.
Mpaka sasa sijakiona kilichokuuma ni nini?
Sijaongelea wao kwenda huko binafsi ninapenda waendelee kqenda na sehemu nyingine na nyingine muhimu wajue wanaenda kufanya nini na kwa manufaa ya nani basi hilo tu..usiende sehemu kama unaenda kutembea tu..!Sasa hoja yako ni nini haswa, hao wanachofanya ni comedy tu. Ni nini cha ajabu hapo zaidi ya kuwa wanafanya comedy, au kwako lengo la comedy ni nini haswa. Labda hoja ingekuwa ni kwa gharama za nani wanafanya yote hayo, kama ni kwa kodi zetu hilo ni kosa sawa na uhujumu uchumi. Kwani kinachofanyika hapo hakitokuwa na tamani yoyote ya pesa inayotumika hapo.
Hao si ndio huwa wanachekeshwa na utaahira anaofanya bamboNyie wadada wa kazi huwa mnachekeshwa na mambo madogo ambayo hata si vichekesho.
Sio ishu kubwa kiivyo ukizingatia wako eneo sahihi( makumbusho) Ni sawa na mzungu avae kimasai alafu awe Masai boma (Arusha)alafu azungumze kimasai we wa pembeni utacheka na utajisikia vyema kwamba kumbe wanatufuatilia.Unazifahamu caricutures? Tatizo ni hizo facial expressions za kumock na accent za kumock huku wakiongea vitu visivyoeleweka. Nimependezwa na mavazi yao, sina shida nayo. Sisi huwa tunapigia kelele black caricutures, tusiwafanyie wenzetu pia.
Hawa wanakua na vimelea vya ushogaHao si ndio huwa wanachekeshwa na utaahira anaofanya bambo
😂😂😂😂😂Nyie wadada wa kazi huwa mnachekeshwa na mambo madogo ambayo hata si vichekesho.