Haya waliyofanya wasanii wetu walioenda Korea siyo sawa kabisa

Umejibu vema
 
Ujuaji gani wakati vitu hipo open hapo walichukua clip kama comedy na wakawa wanaigia lugha ya watu na sio lugha yao..
Sasa hoja yako ni nini haswa, hao wanachofanya ni comedy tu. Ni nini cha ajabu hapo zaidi ya kuwa wanafanya comedy, au kwako lengo la comedy ni nini haswa. Labda hoja ingekuwa ni kwa gharama za nani wanafanya yote hayo, kama ni kwa kodi zetu hilo ni kosa sawa na uhujumu uchumi. Kwani kinachofanyika hapo hakitokuwa na tamani yoyote ya pesa inayotumika hapo.
 
Sikioni cha ajabu hapo, ni usanii kama usanii mwengine.

Kynbuka hao wapo nafunzoni, hata hizo nguo walizovaa ni "costumes" wamepewa hapo hapo studio wazitumie.

Mpaka sasa sijakiona kilichokuuma ni nini?
Unazifahamu caricutures? Tatizo ni hizo facial expressions za kumock na accent za kumock huku wakiongea vitu visivyoeleweka. Nimependezwa na mavazi yao, sina shida nayo. Sisi huwa tunapigia kelele black caricutures, tusiwafanyie wenzetu pia.
 
Sijaongelea wao kwenda huko binafsi ninapenda waendelee kqenda na sehemu nyingine na nyingine muhimu wajue wanaenda kufanya nini na kwa manufaa ya nani basi hilo tu..usiende sehemu kama unaenda kutembea tu..!
 
Haya ndio matumizi murua ya kodi zetu.
Daah.... Hatari na nusu
 
Unazifahamu caricutures? Tatizo ni hizo facial expressions za kumock na accent za kumock huku wakiongea vitu visivyoeleweka. Nimependezwa na mavazi yao, sina shida nayo. Sisi huwa tunapigia kelele black caricutures, tusiwafanyie wenzetu pia.
Sio ishu kubwa kiivyo ukizingatia wako eneo sahihi( makumbusho) Ni sawa na mzungu avae kimasai alafu awe Masai boma (Arusha)alafu azungumze kimasai we wa pembeni utacheka na utajisikia vyema kwamba kumbe wanatufuatilia.
Kwa mtu uliyewai kukutana na mtu wa tamaduni nyingine anatamka mwenyewe maneno ya watu wengine hua anatoa mlio wa neno tuu.
NB.
Wametuburudisha kwa kwelii πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…