Haya wana Yanga SC mjibuni Mandala Simba kwa hii Hoja yake ninayoiunga mkono 100%

Haya wana Yanga SC mjibuni Mandala Simba kwa hii Hoja yake ninayoiunga mkono 100%

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178

Haya na Wewe mwana Yanga SC uliyeko hapa JamiiForums je, nawe pia ukiivaa hiyo Jezi yenu HAUPENDEZI MBELE NA BADALA YAKE NAWE PIA UNAPENDEZA NYUMA Kwako?
 
1756697110174.jpg
 
Huu ni usenge wa msenge
Nina uhakika wa 100% ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE ndiyo nimemuita Member hapa MSENGE kama alivyoniita hapa huyu Member hivi sasa ningekuwa nimeshaanza kutumia BAN yangu ya Wiki Mbili au hata Mwezi ila kwa huyu Member wala hakuna alichofanywa mpaka sasa na Moderators wa JamiiForums na labda pengine ANAOGOPWA na HAGUSIKI.

Cc: Reviser, Payge, Cookie, Paw, YinYang, Active, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, Bridger, Principled, Refiner, celix, Xyln and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Ikifika simba day mnaanza kujikomba kumpigia simu rais..simba na yanga zote zina uccm bila yanga kuwachukiza mashabiki wake kwa kutoa mchango ccm hata mbumbumbu nao pia wangetoa na wangetangaza ila wamepima upepo wa kilichotokea yanga wameona wakaushe nina uhakika mbumbumbu wametoa ila hawajatangaza.
 
Tuma salamu kwa mazuzu 2...
 
Nilitaka kukutia bonge la mtusi ila nimekusamehe maana akili hizi umerithi.
 
Back
Top Bottom