Haya Wananchi mshindwe wenyewe kusukuma mlevi!

Haya Wananchi mshindwe wenyewe kusukuma mlevi!

Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho!

Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu!

LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
Amka ukakojoe, unateseka ukiwa wapi kijana wa Rage?
 
Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho!

Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu!

LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
Uliwahi kumsumuma huyo mlevi hata kwenye bonanza?
 
Kusema kweli TP Mazembe ni mazembe kweli, kila mtu hujipipigia tu kama gunia la mchanga la kufanyia mazoezi ya ngumi!! Hakuna sifa yoyote ya kulipiga gunia la mchanga!! Yanga msijivune kusukuma mlevi!!
 
Zingekuwa ni zile enzi za TP Mazembe kweli, saa hii "wananchi" wangekuwa wanajiharishia!!
 
Back
Top Bottom