mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Amka ukakojoe, unateseka ukiwa wapi kijana wa Rage?Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho!
Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu!
LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
Uliwahi kumsumuma huyo mlevi hata kwenye bonanza?Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho!
Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu!
LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
Wewe je. umepost huku ukiwa usingizini au?Usingizi umekupaa