Haya Watz mambo ya kukohoa kohoa kila mwanamke akipita, unatiwa lockup

Haya Watz mambo ya kukohoa kohoa kila mwanamke akipita, unatiwa lockup

Dah ila hii ikija Kenya itabidi magereza yaongezwe majengo maana ndio zao vijana, nakumbuka enzi zetu kila demu mkali akipita kama tulikua tunaongea, yaani sote tunapoteza network na kuvurugwa akili.
Sasa kwa Watanzania ni kosa la jinai, hamna cha catcalls wala nini, unakausha na kujifanya hujamuona huyo msupa anayepita, mambo ya kukohoa kohoa nenda ukakoholee ndani kwako.

Mtafungwa nyote hadi mkome pambavuuuu....hehehe

https://www.kahawatungu.com/wp-content/uploads/2018/05/WhatsApp-Video-2018-05-15-at-12.13.26.mp4?_=2
Hii ni visiwani Zanzibar ambapo asilimia kubwa ya watu wake ni Waislam..Tena ni kwa kipindi cha Ramadhan tu nafkiri
 
Yellow girl ndio color ya huyo msupa au, alafu hiyo sheria isiwatishe sana, amesema usikohoe, cough, cat calling is calling, it's ok

Hata usigune, umeona video yote inasema hata usiombe namba ya simu.
 
Huyu afande mwenyewe anaonekana mzoefu!!

Kikohozi cha namna hiyo alichokitoa ni kwa wale wenye uzoefu na michezo hii kwa zaidi ya miaka 30[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimecheka hapa hadi basi, mbavu zangu....kwa hivyo hata wewe unajua jinsi ya kutofautisha hivyo vikohozi, una kauzoefu fulani.
 
Mod kwani neno 'una.tiwa' lockup lina nini hadi mumelifanyia masking kwenye kichwa cha huu uzi, sio kila kitu kinahusu mambo yale jameni, hilo ni neno la kiswahili.
Kweli kabisa Mkuu hiyo ndio call a spade a spade.
 
Mkuu haiwez kuwa criminal offence hata SOSPA yenyewe ipo kimya
Kuna involuntary act huwez prove mens rea
Kamanda alikuwa ana hang over
Shida ni mwanamke awe na nia mbaya na wewe lazima utukipata.
 
Bora hata kushangaa kwa kusema 'Yesu wangu' au 'Mtumee' haijawa kosa la jinai...

Badala ya kukohoa sasa tutakua tunatumia hayo maneno...


Cc: mahondaw
 
Bado,tutapangiwa pia kuwalala wake zetu
 
tenor.gif
 
Back
Top Bottom