[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KENYA HAKUNA TAKO WEWE .HIYO SHERIA HAIWEZI APPLY .KWA KIKUYU AU JALUO
Hii ni visiwani Zanzibar ambapo asilimia kubwa ya watu wake ni Waislam..Tena ni kwa kipindi cha Ramadhan tu nafkiriDah ila hii ikija Kenya itabidi magereza yaongezwe majengo maana ndio zao vijana, nakumbuka enzi zetu kila demu mkali akipita kama tulikua tunaongea, yaani sote tunapoteza network na kuvurugwa akili.
Sasa kwa Watanzania ni kosa la jinai, hamna cha catcalls wala nini, unakausha na kujifanya hujamuona huyo msupa anayepita, mambo ya kukohoa kohoa nenda ukakoholee ndani kwako.
Mtafungwa nyote hadi mkome pambavuuuu....hehehe
https://www.kahawatungu.com/wp-content/uploads/2018/05/WhatsApp-Video-2018-05-15-at-12.13.26.mp4?_=2
Huyu afande mwenyewe anaonekana mzoefu!!
Kikohozi cha namna hiyo alichokitoa ni kwa wale wenye uzoefu na michezo hii kwa zaidi ya miaka 30[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwingine akaulizwa hilo lako au la kichina!???Afadhali. Mambo ya dada lote lako yaishe.
Rangi ya thao aka brown skinYellow girl ndio color ya huyo msupa au, alafu hiyo sheria isiwatishe sana, amesema usikohoe, cough, cat calling is calling, it's ok
sasa kama dem ndio kapita na mim kikohozi kimenibana nifanyeje sasaaa
Shida ni mwanamke awe na nia mbaya na wewe lazima utukipata.Mkuu haiwez kuwa criminal offence hata SOSPA yenyewe ipo kimya
Kuna involuntary act huwez prove mens rea
Kamanda alikuwa ana hang over
Kenya hadi mapolisi yenyewe yana huo ujazo, tutakamatwa tuishe