kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Watu wa humu wengi ni wanafiki wakubwa!Akishavaa star wenu diamond halafu zikasifiwa na mademu zenu mtazivaa tuu!Huwa siwaelewi kabisa mnapokuja kumsifu mtu kama diamond eti ametuinua! Ujinga mtupu,mtavaa tu milegezo,hereni,na vikuku mnavaa,mtashindwa nini kuyaita hayo magauni na skirt kuwa ni kanzu za kisasa ama vikoi vya vijana!Huu ujinga mbona soon utaanzia hapo Dar na mtatuita wakuja na washamba sie tuliokataa upuuzi wenu huo