Haya wewe upo wapi?

Haya wewe upo wapi?

Lakini hebu tuwe fair kidogo, kuna wanaume pia hawana documents zozote zaidi ya birth certificate na hata kama wana certificates unakuta meseji zao kwenye simu kama hizo za chini. Ubozo bozo, ujinga ujinga, uchafu na hawana lile la maana la kusema. Kwa hiyo hii ni kotekote.
 
hata hao wanawake wasomi sasa hivi nao wameiga huo upuuzi wa hawa wengine,,mambo ni yaleyale tu no difference,,,
 
Hilo kundi la pili si tu wale wa Birth certificate, wapo wengi tu tena wamesoma angalau mpaka form six hata vyuo ila mambo yao sasa hawafikirii future kabisa ni ujinga ujinga tu na mashoga zao.
 
na ukikaa vibaya utasikia bae naomba hela nikaanunue cheti kuna jamaa anauza toka koromijeee
 
Back
Top Bottom