Haya ya Kichwa, polisi siwaamini, wamejijengea sifa ya kutoaminika

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini.

Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA
amini Mungu pekee gentleman,
acha kuexpose imani yako potofu ya ushirikina na kuabudu masanamu
 
Hata mimi siwaamini policcm. Ukiona wamefanya uchunguzi wa ishu ya mauaji au utekaji na kuwabaini wahusika, basi tambua fika hawajashiriki kwenye hayo matukio.

Na ikitokea wamehusika, basi story zao zitakuwa ni zilezile "bado tunaendelea na uchanguzi ili kuwabaini wahusika" Ukisikia hivyo ndiyo imetoka hiyo.
 
Mabishano mengine yawe na mantiki ndani yake.

Mlitaka polisi wasifuatilie hili tukio?
Ifikie mahala mambo ya siasa tusiyaendekeze sana.
Jaribuni kuvaa viatu vya wafiwa.
Huyu kijana(marehemu) alikuwa na wazazi wake ambao wana uchungu wa kupotelewa na mtoto wao.
Haja yao ni kuona upande wa polisi wamelifuatilia hili suala mpaka mwisho kisha wahusika wafikishwe mahakamani ili haki itendeke.

Sielewi kwanini mnabeza jitihada zilizofanywa na jeshi la polisi.
Ni kweli tunayajua madhaifu ya polisi. Ila wanapofanya vizuri inapaswa tuwapongeze.
 
Inahitaji akili ya maiti kuwaamini polisi hawa majambazi wanaovaa uniform
 
Mabishano mengine yawe na mantiki ndani yake.

Mlitaka polisi wasifuatilie hili tukio?
Ifikie mahala mambo ya siasa tusiyaendekeze sana.
Jaribuni kuvaa viatu vya wafiwa.
Huyu kijana(marehemu) alikuwa na wazazi wake ambao wana uchungu wa kupotelewa na mtoto wao.
Haja yao ni kuona upande wa polisi wamelifuatilia hili suala mpaka mwisho kisha wahusika wafikishwe mahakamani ili haki itendeke.

Sielewi kwanini mnabeza jitihada zilizofanywa na jeshi la polisi.
Ni kweli tunayajua madhaifu ya polisi. Ila wanapofanya vizuri inapaswa tuwapongeze.
Mganga anaitwa nani? Tunza huu Uzi uone kama ndani ya miezi mitatu utasikia kesi kuhusu suala hilo ikiendeshwa mahakamani.
 
Mabishano mengine yawe na mantiki ndani yake.

Mlitaka polisi wasifuatilie hili tukio?
Ifikie mahala mambo ya siasa tusiyaendekeze sana.
Jaribuni kuvaa viatu vya wafiwa.
Huyu kijana(marehemu) alikuwa na wazazi wake ambao wana uchungu wa kupotelewa na mtoto wao.
Haja yao ni kuona upande wa polisi wamelifuatilia hili suala mpaka mwisho kisha wahusika wafikishwe mahakamani ili haki itendeke.

Sielewi kwanini mnabeza jitihada zilizofanywa na jeshi la polisi.
Ni kweli tunayajua madhaifu ya polisi. Ila wanapofanya vizuri inapaswa tuwapongeze.
Kwamba kichwa Cha kijana ambaye alitendewa tukio mafichono kimeweza kupatikana lakini wale waliosimamisha basi na kumshusha mzee kibao mchana kweupe na sio mafichoni na kwenda kumuuwa wameshindwa kupatikana? Jiongeze wewe na ukifikiri Kwa makini utagundua matukio ambayo hawahusiki huwa wanaofanya kazi vizuri lakini kwenye matukio wanayohusika hutaweza kusikia chochote.
 
Kuishi bongo kunahitaji akili na sio akili mnemba no ni akili kuzaliwa. Sawa wamepata kichwa swali watachimbua kaburi waunganishe kichwa au watachimba kaburi jingine la kichwa?
 
Kwamba kichwa Cha kijana ambaye alitendewa tukio mafichono kimeweza kupatikana lakini wale waliosimamisha basi na kumshusha mzee kibao mchana kweupe na sio mafichoni na kwenda kumuuwa wameshindwa kupatikana? Jiongeze wewe na ukifikiri Kwa makini utagundua matukio ambayo hawahusiki huwa wanaofanya kazi vizuri lakini kwenye matukio wanayohusika hutaweza kusikia chochote.
Sijakataa kwamba kuna baadhi ya matukio ya utekaji au upotevu wa raia polisi wetu wanahusika.
Ila tukubaliane pia kwamba yapo matukio ya mfanano na hayo(likiwemo hili) yanafanywa na raia kwa raia.

Kama tutaenda hivi, basi matukio ya uharifu na ukatili kama huu polisi wasifuatilie. Mnafikiri tutajenga jamii ya namna gani?
Watu wauane then polisi ikae kimya kisa raia wanahusianisha matukio haya na uhusika wa polisi?
Subiri yawakute ndo mtaelewa ubaya wa hii mentality mnayo shupalia.
 
Polisi wanasema kichwa kimekutwa kwa mganga, ajabu mganga hatajwi na wala hatutaona kesi ya mauaji ikiindeshwa mahakamani.
Upelelezi ukiwa unaendelea Huwa hawataji majina ya waliowakamata! Ushawai kunitokea miaka 26 iliyopita enzi za ujana, Hadi kwenye gazeti HABARI ilitoka, mi nikashangaa nikaja kudakwa nikanyea debe central police! ngoma iliisha kisutu kwa kuweka advocate!

Police wa bongo kwenye upelelezi wapo vizuri mkuu! Ukiona Wana delay basi jua ishu labda wamefanya wao! Washkaji zangu walidakwa wakapelekwa Base iliyo chini DCI! OYA! hatari

Wazee wanafinya balaa! Wale mashehe wa uhamsho wanapajua Base! Uko lazima ufunguke!
Police kwenye upelelezi wakihamua tu wapo vizuri! Na police ukiacha hawa washinda vituoni, wapo police wenyewe wazee wa kazi chafu na wenye elimu ya intelegensia ya hali ya juu..
 
Sijakataa kwamba kuna baadhi ya matukio ya utekaji au upotevu wa raia polisi wetu wanahusika.
Ila tukubaliane pia kwamba yapo matukio ya mfanano na hayo(likiwemo hili) yanafanywa na raia kwa raia.

Kama tutaenda hivi, basi matukio ya uharifu na ukatili kama huu polisi wasifuatilie. Mnafikiri tutajenga jamii ya namna gani?
Watu wauane then polisi ikae kimya kisa raia wanahusianisha matukio haya na uhusika wa polisi?
Subiri yawakute ndo mtaelewa ubaya wa hii mentality mnayo shupalia.
Kupitia tukio hili sasa ndio uelewe kuwa polisi kwenye yale yote wanayotuhumiwa kushiriki kutenda ikiwemo ya akina mzee kibao,polepole,soka,mdude,chakula yule kijana wa mbeya,aman manengelo wa misungwi, yule msanii wa ushirombo aliyeimba wajinga ndio watatiki pamoja na tukio la kupigwa Lissu risasi Kwa uchache ni kwamba polisi ndio wahusika na kwasababu hiyo hatuwezi kupumbazwa na tukio la kupatikana Kwa kichwa Cha kijana yule japo naye ametendewa kinyama.
 
Wapi nimekataa kwamba kuna kikosikazi ndani ya polisi kinahusika na utekaji kwa baraka za watawala?!
Hao wote uliowataja ni kweli polisi wanahusika direct na ndo maana serikali wamefumbia macho matukio yote.
 
Namkumbuka yule jamaa ZA KICHWAA, sijui wap? Za kichwaa

Apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom