amini Mungu pekee gentleman,Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini.
Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA
Kwa hio walileta mwili bila kichwa halafu baada ya mwili kuzikwa wakaamua kuleta kichwa au sio?Msiba wameuanzisha Upya.
Na wameleta Maswali mapya.
Wajikaze wakigongwa maswali wasiteke watu.
Unaanzaje kuwaamini?Mpaka afe mmoja tumchape fimbo asipolia ndiyo umuamini.Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini.
Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA
Soma pia Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi chapatikana Kitunda, Kibeberu. Polisi Wathibitisha
Polisi wanasema kichwa kimekutwa kwa mganga, ajabu mganga hatajwi na wala hatutaona kesi ya mauaji ikiindeshwa mahakamani.Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini.
Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA
Soma pia Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi chapatikana Kitunda, Kibeberu. Polisi Wathibitisha
Mganga anaitwa nani? Tunza huu Uzi uone kama ndani ya miezi mitatu utasikia kesi kuhusu suala hilo ikiendeshwa mahakamani.Mabishano mengine yawe na mantiki ndani yake.
Mlitaka polisi wasifuatilie hili tukio?
Ifikie mahala mambo ya siasa tusiyaendekeze sana.
Jaribuni kuvaa viatu vya wafiwa.
Huyu kijana(marehemu) alikuwa na wazazi wake ambao wana uchungu wa kupotelewa na mtoto wao.
Haja yao ni kuona upande wa polisi wamelifuatilia hili suala mpaka mwisho kisha wahusika wafikishwe mahakamani ili haki itendeke.
Sielewi kwanini mnabeza jitihada zilizofanywa na jeshi la polisi.
Ni kweli tunayajua madhaifu ya polisi. Ila wanapofanya vizuri inapaswa tuwapongeze.
Kwamba kichwa Cha kijana ambaye alitendewa tukio mafichono kimeweza kupatikana lakini wale waliosimamisha basi na kumshusha mzee kibao mchana kweupe na sio mafichoni na kwenda kumuuwa wameshindwa kupatikana? Jiongeze wewe na ukifikiri Kwa makini utagundua matukio ambayo hawahusiki huwa wanaofanya kazi vizuri lakini kwenye matukio wanayohusika hutaweza kusikia chochote.Mabishano mengine yawe na mantiki ndani yake.
Mlitaka polisi wasifuatilie hili tukio?
Ifikie mahala mambo ya siasa tusiyaendekeze sana.
Jaribuni kuvaa viatu vya wafiwa.
Huyu kijana(marehemu) alikuwa na wazazi wake ambao wana uchungu wa kupotelewa na mtoto wao.
Haja yao ni kuona upande wa polisi wamelifuatilia hili suala mpaka mwisho kisha wahusika wafikishwe mahakamani ili haki itendeke.
Sielewi kwanini mnabeza jitihada zilizofanywa na jeshi la polisi.
Ni kweli tunayajua madhaifu ya polisi. Ila wanapofanya vizuri inapaswa tuwapongeze.
Sijakataa kwamba kuna baadhi ya matukio ya utekaji au upotevu wa raia polisi wetu wanahusika.Kwamba kichwa Cha kijana ambaye alitendewa tukio mafichono kimeweza kupatikana lakini wale waliosimamisha basi na kumshusha mzee kibao mchana kweupe na sio mafichoni na kwenda kumuuwa wameshindwa kupatikana? Jiongeze wewe na ukifikiri Kwa makini utagundua matukio ambayo hawahusiki huwa wanaofanya kazi vizuri lakini kwenye matukio wanayohusika hutaweza kusikia chochote.
Upelelezi ukiwa unaendelea Huwa hawataji majina ya waliowakamata! Ushawai kunitokea miaka 26 iliyopita enzi za ujana, Hadi kwenye gazeti HABARI ilitoka, mi nikashangaa nikaja kudakwa nikanyea debe central police! ngoma iliisha kisutu kwa kuweka advocate!Polisi wanasema kichwa kimekutwa kwa mganga, ajabu mganga hatajwi na wala hatutaona kesi ya mauaji ikiindeshwa mahakamani.
Kupitia tukio hili sasa ndio uelewe kuwa polisi kwenye yale yote wanayotuhumiwa kushiriki kutenda ikiwemo ya akina mzee kibao,polepole,soka,mdude,chakula yule kijana wa mbeya,aman manengelo wa misungwi, yule msanii wa ushirombo aliyeimba wajinga ndio watatiki pamoja na tukio la kupigwa Lissu risasi Kwa uchache ni kwamba polisi ndio wahusika na kwasababu hiyo hatuwezi kupumbazwa na tukio la kupatikana Kwa kichwa Cha kijana yule japo naye ametendewa kinyama.Sijakataa kwamba kuna baadhi ya matukio ya utekaji au upotevu wa raia polisi wetu wanahusika.
Ila tukubaliane pia kwamba yapo matukio ya mfanano na hayo(likiwemo hili) yanafanywa na raia kwa raia.
Kama tutaenda hivi, basi matukio ya uharifu na ukatili kama huu polisi wasifuatilie. Mnafikiri tutajenga jamii ya namna gani?
Watu wauane then polisi ikae kimya kisa raia wanahusianisha matukio haya na uhusika wa polisi?
Subiri yawakute ndo mtaelewa ubaya wa hii mentality mnayo shupalia.
Wapi nimekataa kwamba kuna kikosikazi ndani ya polisi kinahusika na utekaji kwa baraka za watawala?!Kupitia tukio hili sasa ndio uelewe kuwa polisi kwenye yale yote wanayotuhumiwa kushiriki kutenda ikiwemo ya akina mzee kibao,polepole,soka,mdude,chakula yule kijana wa mbeya,aman manengelo wa misungwi, yule msanii wa ushirombo aliyeimba wajinga ndio watatiki pamoja na tukio la kupigwa Lissu risasi Kwa uchache ni kwamba polisi ndio wahusika na kwasababu hiyo hatuwezi kupumbazwa na tukio la kupatikana Kwa kichwa Cha kijana yule japo naye ametendewa kinyama.
Kwani wewe unamuamini Mungu? Mungu hapendi watetea waovu na maovu kama wewe.amini Mungu pekee gentleman,
acha kuexpose imani yako potofu ya ushirikina na kuabudu masanamu