It possible kabisa, lakin ni kinyume na sheria ya ulinzi wa taarifa binafsiNimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura.
Nawasilisha.
Wao wenyewe wanakiri kwenye hii video:Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura.
Nawasilisha.
..mtu aliyeshiriki hujuma hii anaomba kusamehewa kwa dhambi hii halafu wewe unauliza ni kweli..unataka aseme nani ujue ni kweli?Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura.
Nawasilisha.