Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #141
Bodi ya parole nafikiri inahusika na swala la kusimamia haki za wafungwa, na pia kufuatilia mwenendo wao kule gerezani. Haya ni mawazo yangu tu, sina uhakika wa 100%. Kama kuna wajuzi zaidi wataweza kuja kuelezea na kukuelewesha mkuu.Samahan mkuu kwa kuuliza. Kwani kazi ya bodi ya parole ilikuwa ni nini?