Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

Samahan mkuu kwa kuuliza. Kwani kazi ya bodi ya parole ilikuwa ni nini?
Bodi ya parole nafikiri inahusika na swala la kusimamia haki za wafungwa, na pia kufuatilia mwenendo wao kule gerezani. Haya ni mawazo yangu tu, sina uhakika wa 100%. Kama kuna wajuzi zaidi wataweza kuja kuelezea na kukuelewesha mkuu.
 
Watu tulitoa ushauri mapema kuwa nini kifanyike ili kuwatokomeza hao panya road, lkn wahusika hawakuchukulia ushauri wetu serious. Leo hii vijana wasiokuwa na afya wanawalambisha vumbi watu wazima na mindevu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…