Haya yanayoendelea ndani ya Nchi si sawa

Njegele

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
61
Reaction score
100
Moja ya vitu nitavyoendelea kumlaumu Hayati Magufuli ni kufanya bunge kuwa la chama kimoja, kuna suala la bandari kubinafisishwa naona wabunge wanashangilia tu, unabinafisha Kwa miaka 100?

Maana yake mpaka wajukuu zetu wanaukuta huo upuuzi, ifike sehemu mambo ambayo siyo ya Muungano asipewe mtu kutoka visiwani.

MTU MPOLE SIKU AKICHUKIA NI HATARI ZAIDI YA YULE MNAEMJUA MKOROFI.

Inauma Sana tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…