tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kama kuna uhusiano kati ya kabila na tabia za mtu. Kuna rafiki yangu ana mpenzi ambaye ni Mpare na wamedumu naye kwa miaka kadhaa sasa. Sasa huyu jamaa amekuwa akisikia maneno mengi kuhusu wapare, na toka kaanza kusikia hajawah kutana na anayetoa sifa nzuri. Wengi wanadai ni wachoyo, jeuri na washirikina na mengine yanayofanana na hayo. Je ni kweli haya yanayozungumzwa yapo? Jamaa kapata hofu mapema na mpaka sasa hajielewi. Naombeni busara zenu waungwana