Haya yanayosemwa kuhusu wanawake wa kipare yana ukweli?

Haya yanayosemwa kuhusu wanawake wa kipare yana ukweli?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kama kuna uhusiano kati ya kabila na tabia za mtu. Kuna rafiki yangu ana mpenzi ambaye ni Mpare na wamedumu naye kwa miaka kadhaa sasa. Sasa huyu jamaa amekuwa akisikia maneno mengi kuhusu wapare, na toka kaanza kusikia hajawah kutana na anayetoa sifa nzuri. Wengi wanadai ni wachoyo, jeuri na washirikina na mengine yanayofanana na hayo. Je ni kweli haya yanayozungumzwa yapo? Jamaa kapata hofu mapema na mpaka sasa hajielewi. Naombeni busara zenu waungwana
 
yaani mtu anakuja kuuliza tabia za mpenzio wake jf kwani sisi tunamjua jamani?watanzania kwa kupenda kudanganywa?
 
rafiki yako unasema amekaa naye muda sasa ameshindwa kujua tabia za mpenzi wake anataka za wapare wote ataziweza.observation method ni nzuri kuliko opinion survey.acheni mambo ya kijima.
 
Kwahiyo siku akipata mhehe naye ataanza kupata hofu kwasababu kaambiwa au kasikia wahehe wako hivi au vile?
Kwahiyo siku akipata msukuma naye ataanza kupata hofu kwasababu kaambiwa au kasikia wasukuma wako hivi au vile?

Mwambie jamaa yako kama amemchoka dada wa mtu aachane nae kiustaarabu asianze visa mara wapare hivi mara vile hizo ni dalili za kuanza kumchoka mtu mimi nina washikaji zangu kibao wameoa wapare na sijawahi kusikia hayo unayoyasikia wewe, halafu kwanini mnapenda sana kusikiliza sijui fulani kasema hivi au vile yaani nyie mnaishi kwa maneno ya watu wengine....mtajiju
 
Kwahiyo siku akipata mhehe naye ataanza kupata hofu kwasababu kaambiwa au kasikia wahehe wako hivi au vile?Kwahiyo siku akipata msukuma naye ataanza kupata hofu kwasababu kaambiwa au kasikia wasukuma wako hivi au vile?Mwambie jamaa yako kama amemchoka dada wa mtu aachane nae kiustaarabu asianze visa mara wapare hivi mara vile hizo ni dalili za kuanza kumchoka mtu mimi nina washikaji zangu kibao wameoa wapare na sijawahi kusikia hayo unayoyasikia wewe, halafu kwanini mnapenda sana kusikiliza sijui fulani kasema hivi au vile yaani nyie mnaishi kwa maneno ya watu wengine....mtajiju
.....mtajiju tena mambo ya mashauzi clasic ehhhh watasonyaaaaajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
.....mtajiju tena mambo ya mashauzi clasic ehhhh watasonyaaaaajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
:lol::lol: Wewe banaa umeanza nitacheki na Klorokwin akuweke kwenye safu ya uimbaji..lol
 
kama huyo jamaa hajayaona hayo wayasemayo kwanini ahofu. kwani hujawahi sikia watu wakisema "Mngoni mkabidhi pesa atafikisha LAKINI si MWANAMKE". Mbona bado wanawake wa makabila mengine wanatupenda na kutuamini na hatimaye tunaoa?????
 
Kwa taarifa yako tabia ya haina cha kabila wala nn?
Sie mjomba yetu alioa mwanamke mwa kutoka kanda ya kati hapo ukoo mzima tulikoma naye alikuwa mchoyo mpaka kwa mumewe ambaye ndio mtafutaji!!!,alikuwa radhi km ni chakula au nyama zioze atupe kuliko vipakuliwe watu wale!!!

Ndugu wakatia fitna mpaka wakaachana, Anko akaenda zake kusoma ulaya akarudi na mke mwingine mchanganyio wa mjeruman na rwanda huyo alikuwa na roho mbaya utafikiri yy hakua binadam,huo ujeuri ndio usiseme mpaka leo huwa anampelekesha anko km mtoto mpaka anamkumbuka yule aliyekuwa mchoyo!

Kwa hiyo mwambie huyo jamaa yako ausikilize moyo wake na akiwa anajua yy ndie atakayeishi naye,ila km anaoa ili kuwafurahisha washkaji basi atafute mke mwenye tabia nzuri za kabila lake.
 
hii imekaa vizuri, ataipata.
 
Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kama kuna uhusiano kati ya kabila na tabia za mtu. Kuna rafiki yangu ana mpenzi ambaye ni Mpare na wamedumu naye kwa miaka kadhaa sasa. Sasa huyu jamaa amekuwa akisikia maneno mengi kuhusu wapare, na toka kaanza kusikia hajawah kutana na anayetoa sifa nzuri. Wengi wanadai ni wachoyo, jeuri na washirikina na mengine yanayofanana na hayo. Je ni kweli haya yanayozungumzwa yapo? Jamaa kapata hofu mapema na mpaka sasa hajielewi. Naombeni busara zenu waungwana

hata mm siamin ukweli juu ya kufanana kwa tabia ya mtu na kabira lake..lakin kiundani zaid nahisi kama wapare wenyew ndo wanaukwel hivi..so ni bora wakatuambia
 
mi wangu alikuwa poa sdana, hakuwa na makuu. Ila alikuwa ni mke wa mtu na ana watoto wawili, kila mtoto na babake

hata mie nilijua hili lazima liongelewe, na kweli lumelisema, looooooooh!
 
Mie nnachojua ni kuwa hao jamaa wanajua 'kupiga mashine' mfano hakuna, na hii inatokana na minjemba yao kuendekeza matumizi ya 'viagra' za kiasili zinazotokana na mitishamba. Nilishuhudia hilo wakati nilivyokuwa field mkomazi game reserve. Jamaa walikuwa wanayapasha moto juani maji na usiku wanaingia village. wakirudi ni simulizi hizo kwa kwenda mbele.
 
Ni hivi, hakuna kabila lisilokuwa na watu wenye tabia tajwa hapo juu!!! Vilevile hakuna kabila linalokosa watu wenye tabia nzuri pia. Mwambie rafiki yako kama anaolea washkaji zake......atakoma!!
 
sio kweliii banaa..harikaaaa kirukeee cha ibweee,wapare hawako hivyo banaa,hayo ni mitizamo ya watu.muulize especta aron kwenye nyembo yake ya raha ya ndua...anamiaka minne mparee ndo kamuowaaa.labda ufupiii ila hata huko kwenu thi kunaa wafupiiii theeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom