tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
.....mtajiju tena mambo ya mashauzi clasic ehhhh watasonyaaaaajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKwahiyo siku akipata mhehe naye ataanza kupata hofu kwasababu kaambiwa au kasikia wahehe wako hivi au vile?Kwahiyo siku akipata msukuma naye ataanza kupata hofu kwasababu kaambiwa au kasikia wasukuma wako hivi au vile?Mwambie jamaa yako kama amemchoka dada wa mtu aachane nae kiustaarabu asianze visa mara wapare hivi mara vile hizo ni dalili za kuanza kumchoka mtu mimi nina washikaji zangu kibao wameoa wapare na sijawahi kusikia hayo unayoyasikia wewe, halafu kwanini mnapenda sana kusikiliza sijui fulani kasema hivi au vile yaani nyie mnaishi kwa maneno ya watu wengine....mtajiju
:lol::lol: Wewe banaa umeanza nitacheki na Klorokwin akuweke kwenye safu ya uimbaji..lol.....mtajiju tena mambo ya mashauzi clasic ehhhh watasonyaaaaajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nini maana ya uchoyo??Wachoyo balaa mimi ni mhanga wa wapare!
yaani mtu anakuja kuuliza tabia za mpenzio wake jf kwani sisi tunamjua jamani?watanzania kwa kupenda kudanganywa?
Kwa taarifa yako tabia ya haina cha kabila wala nn?
Sie mjomba yetu alioa mwanamke mwa kutoka kanda ya kati hapo ukoo mzima tulikoma naye alikuwa mchoyo mpaka kwa mumewe ambaye ndio mtafutaji!!!,alikuwa radhi km ni chakula au nyama zioze atupe kuliko vipakuliwe watu wale!!!
Ndugu wakatia fitna mpaka wakaachana, Anko akaenda zake kusoma ulaya akarudi na mke mwingine mchanganyio wa mjeruman na rwanda huyo alikuwa na roho mbaya utafikiri yy hakua binadam,huo ujeuri ndio usiseme mpaka leo huwa anampelekesha anko km mtoto mpaka anamkumbuka yule aliyekuwa mchoyo!
Kwa hiyo mwambie huyo jamaa yako ausikilize moyo wake na akiwa anajua yy ndie atakayeishi naye,ila km anaoa ili kuwafurahisha washkaji basi atafute mke mwenye tabia nzuri za kabila lake.
Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kama kuna uhusiano kati ya kabila na tabia za mtu. Kuna rafiki yangu ana mpenzi ambaye ni Mpare na wamedumu naye kwa miaka kadhaa sasa. Sasa huyu jamaa amekuwa akisikia maneno mengi kuhusu wapare, na toka kaanza kusikia hajawah kutana na anayetoa sifa nzuri. Wengi wanadai ni wachoyo, jeuri na washirikina na mengine yanayofanana na hayo. Je ni kweli haya yanayozungumzwa yapo? Jamaa kapata hofu mapema na mpaka sasa hajielewi. Naombeni busara zenu waungwana
mi wangu alikuwa poa sdana, hakuwa na makuu. Ila alikuwa ni mke wa mtu na ana watoto wawili, kila mtoto na babake