Haya yanayotokea st Joseph College sio uvunjaji wa haki za wanafunzi?

Hizo ni tabia za kiseminary ,lakini hao wamezidi wanataka kuwafanya watumwa,daini haki zenu bila kuogopa.
 
Mungu awe nawe maana wasomi we2 nw dyz n walalamishi mwanzo mwisho
 
Unataka uruhusiwe kwenda toilet wakati wa exam ili ukafanye nin huko? Ninachojua kila binadamu ana uwezo wa kucontrol call of nature walau hata kwa saa tatu unless una matatizo na kama una matatizo ndo maana unafanya medical examination kabla hujadahiliwa chuon tatizo mmezoea kufoji!
 
Muhogomchungu .wanafunzi wa kitanzania walio wengi wanapenda kuvuna wasichopanda!.jua ya kuwa tunayopitia Tanzania katika Elimu Wahindi 30 yrs back wameshayapitia.Inasikitisha kuwa na kizazi kina choishi kwa kujifaulisha kwa fake paperz na vibomu wanavyoficha chooni. Lengo la St. Joseph ni kuwapatia vijana wetu elimu bora na sio bora elimu. Fani za uhandisi sio za kubabahisha.
 
I am proud to be a student of this college. So siri nilipokuwa mwaka wa 1 hadi wa 2 nilihangaika sana kuendana na taratibu zao. Nimefanya utafiki na kuamua kupiga shule. So siri 2napoongelea best engineering colleges Tz kama hutaitaja St. Joseph basi si kwa kuwa haina ubora bali hauijui St. Joseph.
Ni chuo kizuri sana kwani kinanijenga ktk misingi ya International Standards. Najua democracy kweli haipo St. Joseph College of Engineering wala St. Joseph Institute of Information Technology but mie pamoja na ukweli kwamba nina misingi ya uana harakati kamwe sitoruhusu kutafta demokrasia. Nilichopenda sana kuna siku nimechat na Head of Department wa Computer Science wa MIT (Massachussets Institute of Technology) USA. Alipojua kwamba nasoma a 4 - year degree programme akasema I have a direct opportunity to do my masters in MIT hasa kama ntapata GPA ya 3.5 and above.
In short hapa nchini hakuna chuo kama hiki hasa kwa kozi watoazo. Najua UDSM wazuri kwa Law, Mzumbe Utawala, SUA kilimo, TIA uhasibu, UDOM still cjajua watatoa wataalam wa kada ipi watakuwa the best. So unapotaka a helpful and respected Technological course for sofware or Hardware, Networking or Communication and Telcom karibu St. Joseph na ukiona hupendi wahindi nenda DIT- Dar es Saalam Institute of Technology. Kama utaona unataka tu kusoma chuo chenye BIG NAME basi nenda COET.
Acha St. Joseph waendeshe mambo yao watakavyo bcoz the brought the Difference to Tanzania.
Tunaitwa roll call kila kipindi na kama mahudhurio yako ya lectures yako below 85 kwa semester kwa kweli huruhusiwi kufanya End Exams au University Exam. Ni mwendo wa kurudia semester. Nawapenda hawa jamaa wanatupika kiasi kwamba hata nikimaliza hapa nipate ajira nisipate ni ujasiri wa kushine kimaisha. Mtoa maada nataman sana uni PM 2ongee hata kwa simu ili kusudi nikupe ari ya kuelewa what is St. Joseph na uache kulalamika.
 

Haha mkuu mbona mambo ya high school hayo .. mwalimu anakuja kusimamia kusitokee zogo..🙄

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 

Unalalamikia nini exactly?!
1) Uchaguzi=> Chuo kina mamlaka ya kuchagua namna ya kuendesha uchaguzi wa viongozi wa wanafunzi as it sees fit. Kama ulikua na nia ya kuingia/kushabikia siasa za chuo, u should have asked kabla ya ku-apply. The up-side, sijawahi kusikia migomo ya wanafunzi wa st joseph.

2) Kuisaidia=> Vyuo vingi tu wanafanya hivyo. Sijui TZ, but nafahamu kuwa UDSM, msimamizi anareserve haki ya kukubalia au kukukatalia kwenda kujisaidia wakati wa mtihani. Na hutorusiwa in the last 30- minutes of the exam. Fanya kila kitu before the exam if u know u've weak bowels/bladder. Baadhi ya wanafunzi wanaweka desaz/chaboz kwenye toilets, so from where I stand kutorusiwa kutoka nje ya chumba cha mtihani is OK.

3)ADA=>Ulichoandika haki-make sense, nini maana ya 100% kama haikamilishi ada?. Kama unajaribu kusema kuwa ada yao ni kubwa, tunarudi kule kule: uliza ada kabla hauja-apply au kukubali admission.

4)STATIONARY=>Vyuo vingi hela ya stationary huwa inalipwa by the mwanafunzi to the university as part of the compulsory fees. Chuo ndio kinatoa stationaries na kinapanga bei inazoona ziko fit. Hii ni sawa kabisa na wewe kubaki na hela yako na kuitumia kununua kwenye stationary ya chuo, yenye bei ambazo chuo imepanga. Again: Uliza kabla ya ku-apply/kukubali admission.

5)MAPUMZIKO=> Hapa sina hata cha kuongea. Watu wanalalamika kufugishwa sharubu siku nzima bila kumuona lecturer, wewe unalalamika lecturers kufululiza.Two words for u: PIGA SHULE.
 

Hicho ndiyo chuo kinachotakiwa Tanzania ya leo, Maana mpaka wanafunzi manona dozi ni nzito walimu wanaunganisha, siasa nenda ccm/cdm/cuf nk si shule
 
Hizi sheria Kama zimeletwa baada ya nyinyi kujiunga kweli daini haki zenu,Kama sivyo ondoeni Ujinga. Ulisoma vizuri joining instructions na vigezo na masharti ya chuo?
Kama vipi tafuta chuo cha serikali au ambacho unaweza kukimudu 😱
 

well answered kaka. By da wei hata hapa lecturer anaweza amua uende haja ama usiende!
 
Hizi sheria Kama zimeletwa baada ya nyinyi kujiunga kweli daini haki zenu,Kama sivyo ondoeni Ujinga. Ulisoma vizuri joining instructions na vigezo na masharti ya chuo?
Kama vipi tafuta chuo cha serikali au ambacho unaweza kukimudu 😱

sheria tumezikuta hapa. Tuliweka na sahihi kukubaliana na sheria hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…