Haya yote yalikuwemo wakayapinga, leo wanayapongeza

Chadema walikataa hiyo yote eti kisa serikali 3 haikuwemo, wakalishwa matango pori na Mpemba mmoja hivi, wakaikataa katiba ile, leo wanapayuka!

Kwani tunatafuta katiba ya CDM au ya wananchi? Maoni yaliyokusanywa na tume yalikusanywa kwa wanaCDM tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…