Kuna baadhi ya mambo ya kiutendaji tu hayana gharama kabisa lakini yamegeuzwa kama utamaduni na sheria!
Nitatoa mifano michache inayotugharimu na inaonekana ni sawa tu.
Mfano 1.! Kuna umhimu gani kesi za ardhi kuendeshwa zaidi ya miezi 6?
Yaani kielelezo cha mgogoro ambacho ni kipande cha ardhi kipo kinaonekana, wahusika wapo, mamlaka ipo n.k Huwa inapeleleza kitu gani kesi za namna hii kwenda miaka na miaka hata 5 au 10?
Mfano 2. Kesi ya ulawiti, kesi za sampuli ya hivi ambapo aliyelawitiwa yupo, mlawiti yupo, mazingira yapo ..huwa kuna haja gani ya upelelezi kurushwa mwezi hadi mwezi hadi aliyelawitiwa anapona?
Ujue mtu aliyelawitiwa leo na ikadhibitika kwa vipimo na na mazingira, ukirudi kumpima baada ya miezi anakuwa kapona na vielelezo haviwezi kukupa majibu kwasababu hata bikria zinarudishwa siku hizi na kesi kukosa mashiko tena! (Kipi hufanya kesi hizi kusikilizwa zaidi ya mwezi?
Mfano wa 3.
Kesi ya mauaji yenye vielelezo vya wazi kabisa kwamba mtu kaua, au kachinja na pengine hata mhusika mwenyewe anasimulia kachinja, kanyonga, kachoma moto n.k Swali upelelezi wa miaka pasipo maamuzi inasababishwa na nini kama tuna waza sawasawa?
Mfano wa 4.
Kesi za talaka, wana ndoa wanasuruhishwa kifamilia inashindikana, wanasuruhushwa kidini imeshindikana, wanaenda ngazi ya ustawi imeshindikana, wanakwenda mabaraza ya wilaya imeshindika, wanafikisha kesi mahakamani ....kesi inazungushwa miaka miwili miatatu mitano kwa sababu gani ya msingi?
Mfano 5
Kesi ya milathi .........kusikilizwa muda mreefu hadi watu wengine walithi wanakufa na vielelezo vipo bayana huwa ina msingi gani kiutendaji? Kwanini tusifanye kesi kuwa organized kwa wakati?
Hivi hayo yanagharama gani kwetu kama taifa kuyabadili yazingatie upotevu wa muda?
Mfano 6.
Udhulu wa hakimu au hakimu kuhamishwa n.k kwanini mahama wasiwe na kanzu data kila kesi inaposajiliwa na watu wajisajili ili kupeana updates za mahakama? Mfano mtu anasafiri kutoka dodoma, mbeya au mwanza anafika mahakaman anaambiwa hakimu hayupo!? Sasa update kama hizi kwanini wasingejulishwa wahusika mapema kwa mfumo wa mahaka.a na wasisumbuke kuja mahakaman ili wakazalishe katika kazi zao? (Huu upotevu wa muda mahakama kuuepuka unabgharama gani?)