Hayati Dkt. Magufuli aliligeuza suala la Wamachinga kuwa mtaji wake wa kisiasa

Jibu hoja mbona unatawaliwa najazba mkorinto, kwani hayo nilio yasema wewe hauku yaona au ulikuwa masomoni nje ya nchi? Jaribu kutawala hasira epuka kuwaka Wala Kama mwendazake alivyo kuwa, pole Sana kwani utaratibu ukiwekwa ni kosa.
 
Kesho utakuja kufungua uzi wenye kichwa cha habari "Mjiajiri" ndiyo unafiki wenu
Kwani wewe bado unaishi kwa shemeji yako na midevu yote hiyo, acha kumnyonya shemeji tafuta ajira, au una subiri serikali ikuajiri. Kalagabaho MUHENGA jua diswa.
 
Jibu hoja mbona unatawaliwa najazba mkorinto, kwani hayo nilio yasema wewe hauku yaona au ulikuwa masomoni nje ya nchi? Jaribu kutawala hasira epuka kuwaka Wala Kama mwendazake alivyo kuwa, pole Sana kwani utaratibu ukiwekwa ni kosa.

hakuna hoja.
 
Kweli kabisa... na alitangaza hilo akiwa Mwanza kuwa waachwe akidhani ni Mwanza tu, Tanzania nzima Machinga wakajaa barabarani.
 
Watu wameamua kutulia n hayo ni matokeo ya JPM. JPM aliwafundisha watu kuwa watulivu huku njia nyingine zikiendelea kutafutwa. Wakati wa JPM hakukuwa na migomo wala fujo na ndicho sasa hivi unaita kufaulu kwa Samia katika swala la wamachinga.

Kwa uzuri tu ni kwamba: Siku zote mtu hurudisha siraha nyuma huku akijipanga. Usishangae watu wakarudi hadi ukajilaumu na hizi comment zako za kila siku unamtukama marehemu. Mzimu umekuandama hadi hunamaa. ukiamuka tu lazima uanzishe uzi.
 
Wewe ni wakuonewa huruma tu. Unateseka Sana haukujua kuwa duniani wanadamu hawadumu wanapita tu. Jifunze kupitia mabadiliko.
 
Wewe ni wakuonewa huruma tu. Unateseka Sana haukujua kuwa duniani wanadamu hawadumu wanapita tu. Jifunze kupitia mabadiliko.
Huna lolote. Roho mbya tu inakutesa.

Mtu akishakufa hana lake hapa duniani. Kwa nini wewe ukiamka tu unaanza na marehemu?.

Kapimwe akili, unaugonjwa bila kujua.
 
Nguvu kazi ipi iliyopungua?
Huko vijijini vijana walikimbilia mijini kufanya umachinga, wakawaacha wazee na wamam naa watoto vijijini, ufanisi wa kilimo na shughuli nyingine zilioungua Sana. Na wengine walitelekeza familia huko vijijini
 
Wao wenyewe walisema wao si wanasiasa. Hao akina Mbowe wamezidi.

Ni maneno ya Machinga mmoja hivi hapa Kivule Dar es salaam
 
Kwani wewe bado unaishi kwa shemeji yako na midevu yote hiyo, acha kumnyonya shemeji tafuta ajira, au una subiri serikali ikuajiri. Kalagabaho MUHENGA jua diswa.
Unaemuandikia haya unamjua?
 
Hata hao wamachinga pia watafurahi baadae baada ta kutulia huko waliko na watapata wateja

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huna lolote. Roho mbya tu inakutesa.

Mtu akishakufa hana lake hapa duniani. Kwa nini wewe ukiamka tu unaanza na marehemu?.

Kapimwe akili, unaugonjwa bila kujua.
JF Member sikutegemea Kama ungeteseka hivyo. Pole Sana.
 
Huko vijijini vijana walikimbilia mijini kufanya umachinga, wakawaacha wazee na wamam naa watoto vijijini, ufanisi wa kilimo na shughuli nyingine zilioungua Sana. Na wengine walitelekeza familia huko vijijini

wewe unalima mashamba kijijini kwenu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…