Màgufuli aka mwendazake hakuna mwingineNa hilo file la Milembe analodai Dialo ni la nani.
masai aliingia disco na sime!Ila kumbe Magufuli alikua anaogopwa aiseeee.....😜
Apumzike kwa amani tu yule baba
wenzio walijitoa akili zaidi yako humu long time,mwisho walisepa wakaacha ukweli unaendelea kuishiMfanyeni Diallo awe mgombea wa chadema sasa
Ila kumbe Magufuli alikua anaogopwa aiseeee.....[emoji12]
Apumzike kwa amani tu yule baba
Ila kumbe Magufuli alikua anaogopwa aiseeee.....[emoji12]
Apumzike kwa amani tu yule baba
Mbona hakutangaza uhakiki wa Mali za chama.
Yeye mwenyewe alikuwa fisadi mkubwa kupitia Chanel zake
Na hilo file la Milembe analodai Dialo ni la nani!
Alafu sisi wengine wala hatukua tunamuogopa,Bali tulikua tunafurahia kazi zake kwa Jamii!!Ila kumbe Magufuli alikua anaogopwa aiseeee.....[emoji12]
Apumzike kwa amani tu yule baba