Hayati Dkt. Magufuli aliwahi kusema hata CCM kulikuwa na mafisadi wakubwa

Hayati Dkt. Magufuli aliwahi kusema hata CCM kulikuwa na mafisadi wakubwa

Ila kumbe Magufuli alikua anaogopwa aiseeee.....😜
Apumzike kwa amani tu yule baba
Ukiwa huna akili sawasawa halafu unamamlaka ya kuamrisha vyombo vya ulizi na usalama lazima uogopwe maana hatujui kesho utaamka na lipi na utaamrisha askari wafanye nini kwa nan. Hivyo kuogopwa ni kawaida kabisa.
 
Wale wote waliokuwa wanamuogopa Magufuli,ni wale wapiga ma deal hasa kwa kutumia public office!!
 
we nae unaongea nini. kwani mafisadi nchi hii wanalelewa na nani miaka yote kama sio ccm. hivi wewe na akili zako ulikuwa unamsikiliza magufuri na kuamini anachokisema?
 
Wewe nae,yani kujiunga tu 2016 umeanza kudharau Members wapya? Akili zingine bwana [emoji28][emoji28]

Hujaelewa kuwa kuna wimbi jipya la wajumbe wa zamani wenye majina mapya?

Au na wewe ni mmoja wa wajumbe hawa mnaojifunza majina mapya?

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom