Ukiwa huna akili sawasawa halafu unamamlaka ya kuamrisha vyombo vya ulizi na usalama lazima uogopwe maana hatujui kesho utaamka na lipi na utaamrisha askari wafanye nini kwa nan. Hivyo kuogopwa ni kawaida kabisa.Ila kumbe Magufuli alikua anaogopwa aiseeee.....π
Apumzike kwa amani tu yule baba
Watu ambao walikua hawamuogopi Magufuli hata kidogo ni watu wa DAR!!Nape anamfahamu vizuri sana
Wale wote waliokuwa wanamuogopa Magufuli,ni wale wapiga ma deal hasa kwa kutumia public office!!Ukiwa huna akili sawasawa halafu unamamlaka ya kuamrisha vyombo vya ulizi na usalama lazima uogopwe maana hatujui kesho utaamka na lipi na utaamrisha askari wafanye nini kwa nan. Hivyo kuogopwa ni kawaida kabisa.
Hili wimbi la wajumbe wapya wa chama fulani limekaa kama ni #3 la wale jamaa:
View attachment 1848422
Cc: GENIUS JAGUAR MONSTER mna majina mapya, mnaitwa vipusa
Wewe nae,yani kujiunga tu 2016 umeanza kudharau Members wapya? Akili zingine bwana [emoji28][emoji28]
Alikwambia nani ilinunua ndege, hukumuona polepole akipiga hesabu ?Ilinunua ndege