Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

Machinga ni sawa walikuwepo lakini sio kama hawa waliopo toka 2015!!huu sasa ni uchafu, machinga gani anajenga banda la zaidi ya milioni tatu juu ya mtalo?city center, (posta)mama anachoma mihogo /chipsi kwa kutumia jiko la pumba?moshi timu timu!!ni mala ngapi wanapangiwa maeneo hawataki wao wanataka sehemu wanazotaka wao na sio serikali inapotaka!!enzi za jk kariakoo ilikuwa ipo kaka sasa,?mgambo aliogopwa kuliko hata jwtz na wamachinga.
 
Kimsingi hawaa machinga ndio nguvu kazi ya viwandani. Endapo viwanda vitashika kasi hawa vijana wote hawataonekana humo barabarani.
Hahaaaaaa!!kwa nchi hii kuna dalili ya viwanda kushika kasi?toka 2015 tuliambiwa kuna viwanda 8000, ambavyo havijafanya lolote na havionekani kwa macho!!hakuna ambaye anawachukia lakini ki ukweli imekuwa kero kwenye miji, nenda mitaa ya kariakoo uwe na gari utake kuingia kwenye mitaa, uone inakubidi uwaombe ili kupitisha gari, wakikataa basi!!!
 

Jaribu kwenda Mtaa wa Kongo au sehemu nyingine yenye mkusanyiko wa Wanachinga useme hii statement yako uone kama utapona na kupopolewa kwa mawe.

Eti aliye jenga machinga complex ndiye aliye kuwa akiwajali. Yawezekana lilikuwa toleo moja kati ya miradi mingi ya upigaji hili linathihirishwa na mzengwe ulikuwepo wakati wa kupangishana pale machinga complex na tafuta ujue madalali wa pango enzi hizo.
 
Unahitaji kuelimishwa alijenga machinga comprex ni jk haijalishi fedha imetoka wapi, na lile daraja la ubungo utajema wamejenga wazungu kisa tu wametoa fedha? Na miladi yote inavyanzo vyake vya fedha ila anaetajwa ni yule alieidhinisha fedha kutoka kwaajili ya mladi husika
 
Hivi Magufuli na Ibilisi yupi ana afadhali?
Pia alifanya ni kichaka cha kuficha maovu yake hasa roho mbaya na ukatili wake wa kuzaliwa nao kwa kujifanya ni mtu wa watu na mwenye huruma lakini kiuhalisia alikuwa ni mtu mwenye roho mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…