Supervisor JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 559 Reaction score 208 Dec 19, 2010 #1 Nilipokea kwa masikitiko sana kifo cha kipenz cha wengi Dr Remmy Ongala. Kuna ki2 bado sijakijua vzr kuhusu wasifu wake hv! alikuwa na u Dr wa nn? au lilikuwa jana 2? Mwenye kujua vzr wasifu wake anijuze tafadhali
Nilipokea kwa masikitiko sana kifo cha kipenz cha wengi Dr Remmy Ongala. Kuna ki2 bado sijakijua vzr kuhusu wasifu wake hv! alikuwa na u Dr wa nn? au lilikuwa jana 2? Mwenye kujua vzr wasifu wake anijuze tafadhali