Hayati Dr Remmy Ongala

Hayati Dr Remmy Ongala

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Nilipokea kwa masikitiko sana kifo cha kipenz cha wengi Dr Remmy Ongala. Kuna ki2 bado sijakijua vzr kuhusu wasifu wake hv! alikuwa na u Dr wa nn? au lilikuwa jana 2? Mwenye kujua vzr wasifu wake anijuze tafadhali
 
Back
Top Bottom