Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
- Thread starter
- #21
Siyo kirahisi hivyo
Siyo kirahisi hivyo
Nchi inakopa au haikopi?Ndugai ni mshenzi kama laivyo pole ple na wapuuzi wengine... Ndugai kipindi cha Magufuli alikuwa zaidi ya Ibilisi... Ni wnafiki.. Baada ya kupokonywa mrija wa asali na maziwa kipindi cha Mama ndio wakaanza kubwabwaja... Wangewekwa kwenye System na Mama wala usingewasikia wanabwabwaja..
RIP. Angesimama na kukazia kauli yake angejijengea heshima kubwa. Ni bora watu kama Polepole, Warioba,Gwajima, Mpina, Shivji, Mwabukusi, Kitima.Ndugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.
Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Ni yule ndugai aliyesema dikteta atake asitake atatawala milele? Alijipa ukuu zaidi ya Mungu. 'Apumzike' anapostahili.Ndugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.
Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Aafie motoni huko,Alikataa baada ya kunyimwa donge nono na mwenye mhimili uleNdugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.
Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Sawa inakopa na deni ni kubwa sana...Ninachopinga ni unafiki wa huyo NdugaiNchi inakopa au haikopi?
Inasikitisha sanaRIP. Angesimama na kukazia kauli yake angejijengea heshima kubwa. Ni bora watu kama Polepole, Warioba,Gwajima, Mpina, Shivji, Mwabukusi, Kitima.
Ila kuomba msamaha kwa kitu anachokijua ni cha haki, cha kweli, kwa maslahi ya taifa na kusema amekosea ni kukosa ujasiri, kujiamini. Halafu akafukuzwa hata baada ya kuomba msamaha.
Atakumbukwa kwa uoga wake, kutojiamini, kukosa ujasiri, kusimama kama mwanaume.
Alisema amekosea. Amekosea sana. Atakumbukwa kama mtu asiye na msimamo thabiti, aliyeshindwa kusimamia maslahi ya Taifa.Mnyonge mnyongeni mabaya yake mwachieni... Tuondoke na la kuuza nchi..
MhAlisema amekosea. Amekosea sana. Atakumbukwa kama mtu asiye na msimamo thabiti, aliyeshindwa kusimamia maslahi ya Taifa.
Atakumbuka kwa maneno yake mwenyewe ya mwisho kuomba msamaha kabla ya kutimuliwa madarakani. Angeweza kukaa kimya.
Alikuwa na mamlaka ya kutosha kusimama na ukweli na kusimamia alichokiamini, kukaza. Angeepusha hii taifa na majanga mengi, at least kasi ingepungua ya mikopo isiyo kichwa wala miguu, uuzaji holela wa rasilimali za Taifa kwa kutumia nafasi yake, mhimili wake, jina lake. Apumzike anapostahiili.
Hata kama angekataa yeye wenye jambo lao wangempata mtu wao na lingefanyika tu,,, tumlaumu kwa kukosa msimamo yeye binafsi..Alisema amekosea. Amekosea sana. Atakumbukwa kama mtu asiye na msimamo thabiti, aliyeshindwa kusimamia maslahi ya Taifa.
Atakumbuka kwa maneno yake mwenyewe ya mwisho kuomba msamaha kabla ya kutimuliwa madarakani. Angeweza kukaa kimya.
Alikuwa na mamlaka ya kutosha kusimama na ukweli na kusimamia alichokiamini, kukaza. Angeepusha hii taifa na majanga mengi, at least kasi ingepungua ya mikopo isiyo kichwa wala miguu, uuzaji holela wa rasilimali za Taifa kwa kutumia nafasi yake, mhimili wake, jina lake. Apumzike anapostahiili.
Msimamo wake unajulikanaHata kama angekataa yeye wenye jambo lao wangempata mtu wao na lingefanyika tu,,, tumlaumu kwa kukosa msimamo yeye binafsi..