Hayati JPM alifanya makusudi sana kuharakisha reli za SGR kanda ya ziwa kabla wahuni walivyomuwahi

Hayati JPM alifanya makusudi sana kuharakisha reli za SGR kanda ya ziwa kabla wahuni walivyomuwahi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Katika miradi ambayo ingeweza kuishia njiani au kufa na mengine imebaki story.

Ni miradi ambayo kanda ya ziwa ambayo jitihada za haraka kama angesubiri ziwe kwa awamu mfano SGR Dar -Dodoma kwanza basi reli kutoka dodoma kwenda Mwanza ingekuwa story.
 
SGR
HYDROPOWER


THUMB 👍
kwa hilo simdai magufuli
 
Ndio maana ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza umetelekezwa hadi leo.

Mwanza inahujumiwa sana
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom