Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Hii ni kwa sababu alidhibiti ufisadi na akahakikisha kuwq pesa na makusanyo yana kwenda kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund.
Kama rejesho kwa sasa ni 45% wakati kiwango kilichotakiwa ni 18% basi Watanganyika wana hali ngumu.
Nasema Watanganyika kwa sababu Wazanzibari hawaumii.
Hayati JPM alihakikusha deni la taifa linalipwa na ndio maana alikubalika. Na angekuwepo lisingefikia tril 114.